ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,450
- 89,848
Tutachagua Mikoa na tutalima Kwa contracts Kwa watu ambao watapewa leseni.Halafu tuache kulima chakula! Hujifunzi kilimo cha miraa Ukunyani na balaa la njaa?
Both Dodoma n Zanzibar r having an interchange U/C with Dodoma to have several along the outer ring and inner ring n Zanzibar constructing two! Mwanza too is having a highway to Link JPM Bridge that will have at least 2 interchange! Arusha too is to have a highway from USA River to Holili that will have an interchange! BTW btn interchange n bus terminals n markets what is more important?Yes, all interchanges in Tanzania are only available in Dar. To make it worse they are only three of them.
Yes has no difference with what u have along Thika Highway!
Sina huo muda bro. Huo mjadala tumeupiga sana tumechoka. Make Google your friend.Kundustan mna shule? Ziko wapi? 😂😂
Unaogopa kuaibika 😂😂Sina huo muda bro. Huo mjadala tumeupiga sana tumechoka. Make Google your friend.
Never comoare Thika Road interchanges na hizo vitu vyenu vya kalongolongo.Yes has no difference with what u have along Thika Highway!
Naona ushuzi wa mambati structure!Never comoare Thika Road interchanges na hizo vitu vyenu vya kalongolongo.
Pangani interchange.
View: https://x.com/MwangoCapital/status/1513073928973033474
Hivi viji interchange ishuzi ni basic mzee. Hatudili navyo hivi, since kabarabara kenyewe ni basic. Dar kwasasa ni mwendo wa Six lanes kila barabara+ BRT lanes.Never comoare Thika Road interchanges na hizo vitu vyenu vya kalongolongo.
Pangani interchange.
View: https://x.com/MwangoCapital/status/1513073928973033474
Kabisa KiongoziNi hatua nzuri, haya ndiyo mambo tunayoyataka siyo kuendekeza uchuuzi..
Sawa.Unaogopa kuaibika 😂😂
Naona baboon Umerudi after jana ulinuna. Watoto wenu wote wanafanana na baboon ama ni wewe pekee?Hivi viji interchange ishuzi ni basic mzee. Hatudili navyo hivi, since kabarabara kenyewe ni basic. Dar kwasasa ni mwendo wa Six lanes kila barabara+ BRT lanes.
Hawa watu ni watu wa kuacha wajifurahishe, imagine leo mtanzania anataka kushindana na Kenya kwa mambo ya interchanges😂😂Sawa.