Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa ww unaniletea hadithi nyingi za paukwa, pakawa...... kuwa serious man. hatuko kijiweni
Huna unalojua juu ya hali ya biashara ya KQ, unachojua ni blaah..blaah.. na sifa za wakenya za kijinga, hivi hamjijui kwamba ninyi ni limbukeni wa sifa za kijinga wakati kichwani hamna akili?, sema deni lilikua ni kiasi gani na nani aliyelipa hilo deni kama unakataa kwamba creditors wa KQ hawakulazimishwa kuwa share holders.
 
Utasikia Nairobi eti ni mega city[emoji12] [emoji12] [emoji3] [emoji3] [emoji3] walipopaficha sasa pako peupe
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]


 
Si ukikuza watu ndio watakua na pesa na wanachangia kukua kwa uchumi... How have you developed the people?
 
Don't change cutting point used by WB to calculate poverty level in third world countries, it is under $1, this makes Kenyans 43% who can't afford daily meal.
No its already changed. In some areas its actually two dollars. A country can also set its own poverty line
 
Utasikia Nairobi eti ni mega city[emoji12] [emoji12] [emoji3] [emoji3] [emoji3] walipopaficha sasa pako peupe
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]


Ukiondoa miundombinu ya barabara waliyonayo,Nairobi ni kama Arusha tu.!
 
Ukiondoa miundombinu ya barabara waliyonayo,Nairobi ni kama Arusha tu.!
Kweli kabisa tena arusha itafikia kipindi itaibwagwa chali nairobi.....

Ndiyo maana huwa tunawaambia dar si level dar ni level ya kobabe
 
Si ukikuza watu ndio watakua na pesa na wanachangia kukua kwa uchumi... How have you developed the people?
Kuna njia nyingi za kuendeleza watu, ya kwanza na ya msingi kabisa ni kuwawekea watu mazingira ya kuishi bila kuwa na chuki au uadui.

Somalia kwa mfano nivigumu kupata maendeleo hata ukileta wawekezaji wa kila aina kwasababu hawapendani baina ya makabila yao. Utajenga kiwanda leo kesho watakilipua.

Unapoweka mazingira mazuri kwa watu kukaa kwa amani sehemu fulani, nirahisi kufanya biashara, kujenga miundombinu na kuleta maendeleo.

Maendeleo ni kuendeleza kitu au watu kutoka kiwango cha chini hadi cha juu bila kusimama.

Hapo utaona kama kuna chuki baina ya watu katika nchi moja basi hakuna maendeleo kwakuwa chuki italeta fitna au vita na hivyo kuharibu kile kilicho kuwa kimejengwa, kisiendelezwe. Kwa maneno mengine hakuta kuwa na maendeleo.
 
No its already changed. In some areas its actually two dollars. A country can also set its own poverty line
Kaka usijaribu kuzungumza vitu ambavyo huna uhakika navyo, hakuna nchi inayoweza kujipangia yenyewe kumbuka hivi viwango ni kwa ajili ya matumizi ya kidunia sio individual countries, sasa kila nchi ikiwa na cut point yake dunia itawezaje kulinganisha maendeleo ya nchi mbalimbali duniani na kuziweka katika makundi?

Kwanza walikua wanatumia $3 per day kwa nchi zote duniani bila kujali kama ni developed or developing countries, baadae wakazitenganisha kati ya developing countries pekee nankuanza kushusha kutoka hiyo $3 per day hadi sasa imefika $1per day, na matumaini ni kwamba hata hiyo pia itaendelea kushushwa zaidi.
 
U always have your own stats...Kenya is a middle income because it has a high GDP per capita......
GDP per capital numerically is $1200, but 43% of population which is about 20million people live under $1, how can you explain this?, remember only 8300 rich people control 62% of your GDP, Kenya economy is the most ruthless in entire Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…