concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,468
Sauzi Afirika ni ndugu zetu. Tuliwapigania uhuru and other stories. π π π
View: https://www.tiktok.com/@angel.malaika10/video/7422703103201266950?_r=1&u_code=d52cl68mml4ad1&preview_pb=0&sharer_language=en&_d=eaj1g203e2m45a&share_item_id=7422703103201266950&source=h5_m×tamp=1730244389&utm_source=copy&tt_from=copy&enable_checksum=1&utm_medium=ios&share_link_id=6862D66B-E69E-42E7-AD72-A1EFF4D7D476&user_id=6664486889699295234&sec_user_id=MS4wLjABAAAAZ9LnAPssWIP6RNj5-6-4S1xLGUap2y26ZVOBmSUePTpiJbg9CDX-vLjVn4QHMWrE&social_share_type=0&ug_btm=b5836,b2878&utm_campaign=client_share&link_reflow_popup_iteration_sharer=%7B%7D&share_app_id=1233
Muache kujaza ombaomba Kila mahali bro.πKenyan accent
We are your threat, mnatuwaza endeleeni kuidanganya dunia. Sasa tupo busy kuliendeleza taifa letu.Muache kujaza ombaomba Kila mahali bro.π
Yanina homeless wengi SA kuliko Zimbabwe, a neighboring country that went through an economic collapse.
unajisifu kila siku hapa tanzania inapokea watalii wengi sasa ww unafkiri wingi wa hao watalii wanakuja na nn kama huna airline ambayo inakwenda direct flightKabla ya hiyo routes Watalii walikuwa wanakuja na ungo wa Sumbawanga? Yaani wewe akili Yako inaishiaga mwisho wa macho Yako kuona ππ
πππππππ na kanitukana bure tuWewe uelewa wako ni Mdogo sana nina uhakika hata diploma huna! Na kama ulifika form six basi kwa kudra za mwenyezi Mungu! Hiyo My Take Achia wanaojielewa sio kuigaiga!
Kabla ya hiyo routes Watalii walikuwa wanakuja na ungo wa Sumbawanga? Yaani wewe akili Yako inaishiaga mwisho wa macho Yako kuona ππ
kaka tunza energy yako ππππMbona domestic wamecover kila kona?
Nimekuelezea sawa sawa na wewe ulivyoeleza,Sasa why kwako yawe matusi?πππππππ na kanitukana bure tu
Aliyekudanganya kwamba wanakuja na ATCL ni nani? Acha uboya basi.unajisifu kila siku hapa tanzania inapokea watalii wengi sasa ww unafkiri wingi wa hao watalii wanakuja na nn kama huna airline ambayo inakwenda direct flight
2030 unataka watalii 5m utawapataje huna ndege amabzo ni direct flight to world tourism source kama dubai, south africa, china, etc
πππππππππππππππππππππππππππππππNimekuelezea sawa sawa na wewe ulivyoeleza,Sasa why kwako yawe matusi?
so ATCL haina mchango wowote kwenye kuleta watalii au???? ππππππAliyekudanganya kwamba wanakuja na ATCL ni nani? Acha uboya basi.
Hiyo strategy Yao ni ngumu na Ina ushindani sana tofauti na ndani ambako demand ni kubwa ila ndege na route ni chache Abiria wanalia Kila siku
Huyu darasa la saba ana matatizo sana!so ATCL haina mchango wowote kwenye kuleta watalii au???? ππππππ
ππππππππππππ»ππ»ππ»ππ»Huyu darasa la saba ana matatizo sana!
Ni sawa tuu na kusema Haina maana hata isipokuwepo na hata wakati haipo walikuwa wanakuja.so ATCL haina mchango wowote kwenye kuleta watalii au???? ππππππ
Sauzi Afirika ni ndugu zetu. Tuliwapigania uhuru and other stories.
Na tukiwaambia ombaomba wenu wamejaa mijini huku mnasema Mama Ngina media. Kumbe Kila mahali mna ombaomba.π π π