Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Congrats to the Ethiopians but they're Johnny come latelys! The first Africa's all female flight crew were Kenyans. Watch the KQ Dreams Girls way back in 2014 and they're still at it!

https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=4&cad=rja&uact=8&ved=0ahUKEwi0pKK6gYzYAhUKchQKHVe5AnMQtwIIQzAD&url=https://www.youtube.com/watch?v=UrYZqLCBPGo&usg=AOvVaw0wUr9teRQcWOPROgnbBtN5
 
Your grammatical errors say otherwise old man.
dear fellow tanzanians,i just want to tell you something very important.

i had a child with a kenyan woman when i was working in kenya.

child's name is mwaswast,he is 22 years old now.so if i die today, please take care of him.

i love you son.it's me your father kadoda eleven from tanzania.[emoji23] [emoji23]
 
deni la Kq limelipwa lote. subiri their next financial year report wakianza upya
Ninaijua KQ kwa undani kuliko wewe unavyoijua balance yako ya ATM acha kutaka kudanganya watu, wadanganye wakenya wenzako wavivu wa kutafuta taarifa sio mimi.

KQ imelazimisha kugeuza creditors kuwa share holders baada ya kushindwa kulipa hayo madeni, Bank nyingi zilikataa mpango wa kulazimishwa kuwa share holder kwasababu hawaamini utendaji wa KQ kama itatengeneza faida, mahakama na rais walisaidia sana kuzifanya hizo Bank zikubali, kwa kufanya hivyo, share za KLM zimekuwa very much diluted na KLM ipo mbioni kuziuza zilizobaki lakini hakuna anayetaka kuzinunua.
 
haha. kidonda, ni lini utakuwa na akili?
 
write a novel in the near future
 
Which statistics are you basing your economy is bigger than Kenya from? Word of mouth?
 
29% gvt of kenya 27% KLM zilizobaki za watu binafsi na nyingi za watu wa nje😀😀😀😀
hizi figures unazitoa mndukuni na ukiambiwa uthibishe zilipotoka unahepa kama hapo awali na kujifanya bumbumbu
 
stop wasting time. ingekuwa umeshaleta tangu jana
Yaan we jamaa haukui......hizo evidence unazotaka tokea mwaka unaanza huwa unawekewa....kwa ujinsi ubongo wako ulivyokosa kumbukumbu leo unataka tena.....basi utakuwa nashida kubwa sana hayo mambo yalishajadiliwa


Kwa mtindo huo kila baada ya miezi kadhaa tutakuwekea sijui umezeeka[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
stop wasting time. ingekuwa umeshaleta tangu jana
Yaan we jamaa haukui......hizo evidence unazotaka tokea mwaka unaanza huwa unawekewa....kwa ujinsi ubongo wako ulivyokosa kumbukumbu leo unataka tena.....basi utakuwa nashida kubwa sana hayo mambo yalishajadiliwa


Kwa mtindo huo kila baada ya miezi kadhaa tutakuwekea sijui umezeeka[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…