Kwamba Kigogo Busis ni mradi cosmetic?Tuwaulize nyie wazee wa Sgr in what sense mlipuuza uchumi wa Mikoa hiyo Kwa kupoteza hela Kwa miradi ya cosmetic kama Sgr,Kigongo Busisi,ndege nk.
Mikoa ifuatayo haijaunganishwa na Lami.ππ
1.Mbeya-Singida
2.Mbeya-Tabora
3.Katavi-Rukwa
4.Songwe-Malawi
5.Rukwa-Zambia
6.Ruvuma-Morogoro
7.Ruvuma-Malawi
8.Kigoma-Katavi
10.Kigoma-Tabora
10.Kigoma-Kagera
11.Arusha-Mara
12.Manyara-Tanga
13.Manyara-Simiyu
14.Shinyanga-Simiyu
15.Njombe-Morogoro
16.Lindi-Morogoro
17.Mtwara-Iringa via Lindi & Moro
18.Tanga-Manyara
19.Kilimanjaro -Manyara
20.Tanga-Morogoro
Kiufupi hapo nimekuhurumia tuu ila list ni ndefu sana na hapo sijataja Barabara muhimu sana ambazo zinatumiwa na watu wengi kuliko zili ambazo zimeunganisha Mikoa Kwa Sasa eg
Masasi-Mtwara via Tandahimba
Mbeya-Katavi via Mlowo-Majimoto
Njombe-MbambaBay
Mbeya-Njombe via Makete
Arusha-Dodoma via Simanjiro
Mpanda-Tabora via Kaliua(Shorter distance kuliko ya Mpanda-inyonga-Tabora).nk nk
Mwisho narudia tena watu wanataka Barabara na sio ma reli yenu hayo
ππView attachment 3129385
Ndio ni cosmetic projects Kwa sababu Bilioni 700 hizo ni km 500 yaani unakuwa umeunganisha Mikoa 3,hii inge maKwamba Kigogo Busis ni mradi cosmetic?
Huna akili.
Kilimanjaro-Manyara haijaunganishwa Ile Njia ya Moshi-Arusha-Dodoma?Tuwaulize nyie wazee wa Sgr in what sense mlipuuza uchumi wa Mikoa hiyo Kwa kupoteza hela Kwa miradi ya cosmetic kama Sgr,Kigongo Busisi,ndege nk.
Mikoa ifuatayo haijaunganishwa na Lami.ππ
1.Mbeya-Singida
2.Mbeya-Tabora
3.Katavi-Rukwa
4.Songwe-Malawi
5.Rukwa-Zambia
6.Ruvuma-Morogoro
7.Ruvuma-Malawi
8.Kigoma-Katavi
10.Kigoma-Tabora
10.Kigoma-Kagera
11.Arusha-Mara
12.Manyara-Tanga
13.Manyara-Simiyu
14.Shinyanga-Arusha
15.Njombe-Morogoro
16.Lindi-Morogoro
17.Mtwara-Iringa via Lindi & Moro
18.Tanga-Manyara
19.Kilimanjaro -Manyara
20.Tanga-Morogoro
21.Simiyu-Arusha.
Kiufupi hapo nimekuhurumia tuu ila list ni ndefu sana na hapo sijataja Barabara muhimu sana ambazo zinatumiwa na watu wengi kuliko zili ambazo zimeunganisha Mikoa Kwa Sasa eg
Masasi-Mtwara via Tandahimba
Mbeya-Katavi via Mlowo-Majimoto
Njombe-MbambaBay
Mbeya-Njombe via Makete
Arusha-Dodoma via Simanjiro
Mpanda-Tabora via Kaliua(Shorter distance kuliko ya Mpanda-inyonga-Tabora).nk nk
Mwisho narudia tena watu wanataka Barabara na sio ma reli yenu hayo
ππView attachment 3129385
Ndio Kwa sababu bln 716 ingetosha kujenga km zaidi ya 500 zinatosha Kuunga uchumi wa Mikoa 3 au zaidi kitu ambacho ni more economical than kutumia tuu hapo Kigongo-Busisi ππKwamba Kigogo Busis ni mradi cosmetic?
Huna akili.
Ivi kuna mikoa haifikiki kwa lami au upo unatupigia kelele, na vipaumbele uchwara eti barabara?Ndio Kwa sababu bln 716 ingetosha kujenga km zaidi ya 500 zinatosha Kuunga uchumi wa Mikoa 3 au zaidi kitu ambacho ni more economical than kutumia tuu hapo Kigongo-Busisi ππ
Kuna njia ya Kuunga directly bila kuzunguka huko.Kilimanjaro-Manyara haikaunganishwa Ile Njia ya Moshi-Arusha-Dodoma?
Wewe mbuzi,hapo Juu umesoma ni list ya Mikoa ya Kundustan au? Si umenikoti Kwa hiyo post , unadhani hiyo Mikoa imeunganishwa? Kwamba ukitoka Songea unaenda Dar mpaka upite Iringa au Lindi wakati Kuna Barabara hapo ifakara imejaa mavumbi?Ivi kuna mikoa haifikiki kwa lami au upo unatupigia kelele, na vipaumbele uchwara eti barabara?
Mwambie Samia aachane nayo basi akajenge hizo barabara.
Eti kuunganisha uchumi what irony wakati Kigogo Busisi iko more economic viable kuliko huo upuuzi uliotaja.
Mikoa ipi haifikiki na Lami itaje? Unless unataka serikali itumie pesa kujenga barabara za vijiji.
Wanavuzia eneo lipande thamani zaidi kama kule Mikocheni Ili waje kujenga magorofa marefuRubbish!Mnafanyaje mradi usiofika hata $2B kwa miaka 20??
cc game over Miradi ya Magufuli ππ
Nilishaliweka kwenye ignore list hilo Ng'ombe.Kwamba Kigogo Busis ni mradi cosmetic?
Huna akili.
Naona unaanza kunielewa. Halafu naona kapata mwenzie nae soon natupa kwenye dust bin.Kwamba Kigogo Busis ni mradi cosmetic?
Huna akili.
Wanaropoka kinoma. Alafu hiyo ya kutupa kwenye dust bin mm mwenyewe nmeanza kuitumia now, yn ukiingia jf unakuta jitu linaropoka tu mpaka unaona uvivu kuendelea kuperuzi, ss kwa nn ujipe shida, tupa kwenye shimo la taka maisha yaendelee.Naona unaanza kunielewa. Halafu naona kapata mwenzie nae soon natupa kwenye dust bin.
Eti ametoa bilioni 15 ,Sema wewe hater ndio hujui vipaombele vya SSH ndio maana unaongea ujinga wa miradi ya Jiwe,humu jf Kila siku Huwa mna post miradi ya Jiwe?Anaenda na upepo gani? Hii ni miradi ya Jiwe? ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DBPOGibOWJM/?igsh=aHJzMGF3Ymoyd2Iy
utterly nonsense,Tuwaulize nyie wazee wa Sgr in what sense mlipuuza uchumi wa Mikoa hiyo Kwa kupoteza hela Kwa miradi ya cosmetic kama Sgr,Kigongo Busisi,ndege nk.
Mikoa ifuatayo haijaunganishwa na Lami.ππ
1.Mbeya-Singida
2.Mbeya-Tabora
3.Katavi-Rukwa
4.Songwe-Malawi
5.Rukwa-Zambia
6.Ruvuma-Morogoro
7.Ruvuma-Malawi
8.Kigoma-Katavi
10.Kigoma-Tabora
10.Kigoma-Kagera
11.Arusha-Mara
12.Manyara-Tanga
13.Manyara-Simiyu
14.Shinyanga-Arusha
15.Njombe-Morogoro
16.Lindi-Morogoro
17.Mtwara-Iringa via Lindi & Moro
18.Tanga-Manyara
19.Kilimanjaro -Manyara
20.Tanga-Morogoro
21.Simiyu-Arusha.
Kiufupi hapo nimekuhurumia tuu ila list ni ndefu sana na hapo sijataja Barabara muhimu sana ambazo zinatumiwa na watu wengi kuliko zili ambazo zimeunganisha Mikoa Kwa Sasa eg
Masasi-Mtwara via Tandahimba
Mbeya-Katavi via Mlowo-Majimoto
Njombe-MbambaBay
Mbeya-Njombe via Makete
Masasi-Ruangwa-Liwale
Liwale-Kilwa
Arusha-Dodoma via Simanjiro
Mpanda-Tabora via Kaliua(Shorter distance kuliko ya Mpanda-inyonga-Tabora).nk nk
Mwisho narudia tena watu wanataka Barabara na sio ma reli yenu hayo
ππ
View attachment 3129398View attachment 3129385
Tuwaulize nyie wazee wa Sgr in what sense mlipuuza uchumi wa Mikoa hiyo Kwa kupoteza hela Kwa miradi ya cosmetic kama Sgr,Kigongo Busisi,ndege nk.
Mikoa ifuatayo haijaunganishwa na Lami.ππ
1.Mbeya-Singida
2.Mbeya-Tabora
3.Katavi-Rukwa
4.Songwe-Malawi
5.Rukwa-Zambia
6.Ruvuma-Morogoro
7.Ruvuma-Malawi
8.Kigoma-Katavi
10.Kigoma-Tabora
10.Kigoma-Kagera
11.Arusha-Mara
12.Manyara-Tanga
13.Manyara-Simiyu
14.Shinyanga-Arusha
15.Njombe-Morogoro
16.Lindi-Morogoro
17.Mtwara-Iringa via Lindi & Moro
18.Tanga-Manyara
19.Kilimanjaro -Manyara
20.Tanga-Morogoro
21.Simiyu-Arusha.
Kiufupi hapo nimekuhurumia tuu ila list ni ndefu sana na hapo sijataja Barabara muhimu sana ambazo zinatumiwa na watu wengi kuliko zili ambazo zimeunganisha Mikoa Kwa Sasa eg
Masasi-Mtwara via Tandahimba
Mbeya-Katavi via Mlowo-Majimoto
Njombe-MbambaBay
Mbeya-Njombe via Makete
Masasi-Ruangwa-Liwale
Liwale-Kilwa
Arusha-Dodoma via Simanjiro
Mpanda-Tabora via Kaliua(Shorter distance kuliko ya Mpanda-inyonga-Tabora).nk nk
Mwisho narudia tena watu wanataka Barabara na sio ma reli yenu hayo
ππ
View attachment 3129398View attachment 3129385
Kuna mambo yanatia aibu kabisa mtu anakuambia hakuna barabara ya kuunganisha Zambia , - ruvuma wakati hizo nchi zimepakana na ziwautterly nonsense,
Kwamba hakuna barabara ya lami Njombe hadi Morogoro ?
Unless utwambie what business sense (Volume of Business) itajustify kuwekeza bilions of money kwa direct link ya njombe ifakara kama kipaumbele. Otherwise you sound Irrelevant mate.
bro tunza energy yako unaipoteza bure hapo hakuna kitu utaongea nae atakuelewa na wala hakuna kitu utaongea atakuelewa, tupa hio takataka kwenye dustbin πππEti ametoa bilioni 15 ,
Itβs okay anyway sina sababu yotote ya kuwa hΓ’ter wa mama. Ni vile tu tunaongea ukweli kuwa nafasi aliyonanyo ni kubwa kuliko uwezo wake. Thatβs it . Nothing personal mate.
Mradi wa B15 unauleta hapa hii ni miradi ya individuals .
and of course ni Miradi ya Jiwe ndio ccm wataitumia kwenye campaigns za 2025 .
Hata barabara ya kimara-kibaha wameshindwa kuimaliza 5 years down kitu gani wataweza hawa ?