Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hasira ya nini ndugu? sasa Jay Z anatokea wapi kwa battle ya dar vs mombasa? hizi ni fikra za kimandazi mandazi pngine nikusaidie kidogo...jina langu la kitambulisho ni Jay...mambo ya Jay Z sijui katokea puani
 
Asanteni sana wakenya πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

AZAM TV YANG'ARA : Kampuni ya AZAM TV imeibuka kidedea katika kundi la televisheni za kulipia baada ya shindano lililohusisha kampuni nyingine nne za Afrika.

Tuzo hiyo ya ushindi imepokelewa na Azam Media Kenya Limited baada ya kushinda ingizo la kundi la digitali katika sherehe zilizofanyika Jumatatu, Desemba 11 kwenye Hoteli ya Intercontinental.

Katika shindano hilo, ilizishinda Kwese TV, GOTV pamoja na Star Times.

Tuzo hizo ziliamuliwa kwa kura za umma kupitia ujumbe mfupi wa maandishi (SMS) kwa kuchagua Televisheni ya kupilia pendwa miongoni mwa kampuni hizo nne.

Azam TV imeibuka mshindi katika kundi la Waendeshaji wa TV za Kulipia Bora zaidi.

 
I don't have the latest ngong road photos though.....this was 7 months ago. ...though I was on that road on Sunday and the intersection joining mbagathi road at KNH is out of this world.....those Japanese got some nice finish touches
 
Wanaume hua atulii namna iyo,nilicheka sana uliposema umesoma uchumi sijui vidudu gani,
Walau uwe unagusia mada zinazolenga taaluma yako kidogo, utufunze sisi wa fani zingine,
Nne uhakika unaweza vyema kuandika kingereza kuliko mwalimu wangu, nami ntakufunza kuandaa makala kwa kisw
 
Hebu wekea hawa madwanzi picha za the new Ngong road uone vile watatokwa na povu...tafadhali buda kama unaweza get hizo mbisha.

Presidents of LDC countries... birds of a feather flock together.
hasira ya nini?...tuonyesheni international alumni wa vyuo vya kenya ambao baadae waliporejea katika nchi zao,waliteuliwa/walichaguliwa kushika nafasi kubwa kubwa katika nchi...msituletee porojo.

NB:
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hapa sio kila mtanzania anaweza kufika bei. Weka picha za affordable yet accessible to all places....hizo hazijulikani na wengi nje ya JF mkuu, be reasonable.
Pole kwa maumivu broπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hata mimi nashangaa
 
Wanachukia kinoma noma wakenya
 
Same age with leaders of LDCs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…