President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,608
- 94,196
Kurahisisha usafiri kwenda nje , urahisi wa kuingiza clinker ambayo hutumika katika utengemezaji wa cementTanga & Mbeya
View: https://www.instagram.com/p/DBJQpt0iDkY/?igsh=aWRuejB2MjN1c2Y0
Swali: Viwanda vingi vya saruji vinajengwa Tanga,kwani Kuna mwamba mkubwa wa limestone au?
Hiyo Clinker Ina kipi spesheli sana kiasi kwamba haiwezi kuzalishwa hapa hapa Tanzania?Kurahisisha usafiri kwenda nje , urahisi wa kuingiza clinker ambayo hutumika katika utengemezaji wa cement
Tunaabiwa hakuna mapori au naona vibaya!
Ndio hao mnawalamba ass wawakopeshe Kila siku 😆😆Mabwana zenu.
Tanzania hatuna mabwana. Kenya mnao.Mabwana zenu.
Nchi haina sheria kila mtu anajifanyia awezacho.Ndo hivyo kwahiyo wenyewe wakiona scania p410 wanajua ni chassis ya basi kumbe roli tu, hakuna chassis ya basi ya p410 Hilo ni lorry tu. Kwa point hizo Hawa watu hawana mabasi Bali malori
Duh kazi kwelikweli 🤣🤣🤣Unamueleza vitu vigumu. Third rail ataiona wapi? Over head cables hata kwenye picha utazielewa ila third rail kwenye picha kama hujui hutajua tu. Anafikiri kwenye subway mfano London underground kuna overhead cables.
Duh kazi kwelikweli 🤣🤣🤣
From Burundi reli inaweza ikaenda Rwanda na Uganda unless tupeleke reli mpaka keza musongati with branch to UgandaKampala- Mombasa 1150km
Kampala- dar 1690km
Kinacjoibeba Kenya kufika Kampala .
Makubaliano ilikuwa Rwanda waunganishwe kutoka isaka ila mpaka Sasa naona kwa upande wa Rwanda Bado wanasikilizia maana bila kuunganishwa na kongo, Rwanda haiatakuwa na mzigo wa kutosha kuweza fidia gharama za ujenzi na Bado hawako vizuri na Drc.
Ujenzi kwa Sasa umeconcentrate kwenda Burundi kwa sababu imegundulika Kuna madini ya nickel na cobalt kwa upande wa kabanga kgm wakati kwa Rwanda hakujawa na mzigo wa uhakika zaid ya kuimportbna ujenzi wa kipande Cha kwenda kigoma ukiwa unaendelea na kwa upande wa Burundi trc ilipewa jukumu la kumtafuta mkandarasi kwa upande Tanzania na Burundi, huku Afdb ikiwa imekubali kufadhili ujenzi.
Mbona Sasa mnawalamba? Si hua mnasema statistics zao ni za uongo?🤣Ndio hao mnawalamba ass wawakopeshe Kila siku 😆😆
Hatuwalambi,wanatubembelezaMbona Sasa mnawalamba? Si hua mnasema statistics zao ni za uongo?🤣
Tanga kuna clinkerHiyo Clinker Ina kipi spesheli sana kiasi kwamba haiwezi kuzalishwa hapa hapa Tanzania?
Hatujawahi kulamba mtu au taasisi na hatutakaa tufanye hivyo. Tanzania is a Non-Aligned nation. Hatupangiwi na mtu cha kufanya.Mbona Sasa mnawalamba? Si hua mnasema statistics zao ni za uongo?🤣
Kumpeleka mpaka keza ingekuwa magoli sana kuliko ipitie Burundi.From Burundi reli inaweza ikaenda Rwanda na Uganda unless tupeleke reli mpaka keza musongati with branch to Uganda