Remember hiyo pesa is more than what you earn in a month😂😂🤣😂Hiyo Pesa you can oly afford staying a day in Arusha tena kule uswazi, hakuna hotel utaishi kwa pesa hiyo 😂😂😂 hiyo ni pesa ya breakfast moja manzee
4. You don't know EnglishBaadhi ya maneno yanayotumiwa hovyo na WAKUNDUSTAN.
1. International
2. State of the Art
3. Inferiority complex
Ongeza lako.
Imagine Mkundustan anatumia neno ( Inferiority complex ) kwa mtanzania😂
Mkundustan mwenyewe kwa ground😂
View attachment 3124175
Huyu nae alivuma siku ya uchaguzi na kande lake chukuchuku mfukoni😂
View attachment 3124177
Which other countries will it attract? Ama bora wakenya wamekuja basi sawa?😂😂🤣😂.na hili linakuja after landrover kaa mkao wa kula 😂😂😂😂😂
View: https://x.com/nkololotz/status/1845514909150216483?s=46
Ningetamani huyu Makonda wamwache hata kwa miaka mitano hiv awe kiongozi pale Arusha, jamaa anaweza kusimamia maendeleo.Arusha ni moto wa kuotea mbali, Ilikua bado tu haijapata mtu wa kuichangamsha. Hata Dar yenyewe bado mtu sahihi wa kuichangamsha😎
Hiyo point namba 4 weka na risiti mkuu 😂 ile accent yenye kutu ile 😂4. You don't know English
5. Uneducated
🤣 🤣 🤣 🤣
This is not Tanzania. Yani mko desperate to prove a point hadi unaiba picha za nchi zinhine?😂😂🤣😂
Edukashoni Intanashoni 🤣 🤣 🤣 🤣Hiyo point namba 4 weka n risiti mkuu 😂 ile accent yenye kutu ile 😂
Kwahiyo umeumia kiasi hicho?This is not Tanzania. Yani mko desperate to prove a point hadi unaiba picha za nchi zinhine?😂😂🤣😂
Niumie kisa umeiba picha? Yani you are looking for validation so hard hadi unaiba picha?😂😂🤣😂Kwahiyo umeumia kiasi hicho?
kama inauma niambie nichomoe taratibu 😂Which other countries will it attract? Ama bora wakenya wamekuja basi sawa?😂😂🤣😂.
Leo nimejua kwamba wakenya ndio kila kitu kwenu😂😂🤣
Ninaendelea kukuuliza tangu jana. Comment yako ni ipi kuhusu Arusha Land Rover Festival? Naona umemeza jiwe.Niumie kisa umeiba picha? Yani you are looking for validation so hard hadi unaiba picha?😂😂🤣😂
Mbona hutaki kujibu swali?😂😂🤣😂.kama inauma niambie nichomoe taratibu 😂
Mbona unaiba picha za nchi zingine? You are not impressed with junky cars that embraced the Arusha Road show?😂😂🤣😂Ninaendelea kukuuliza tangu jana. Comment yako ni ipi kuhusu Arusha Land Rover Festival? Naona umemeza jiwe.
Je, unaweza kutuelezea kidogo
1. Umefurahishwa na kipi?
2. Unadhani ni kipi kiboreshwe?
Je, unajisikiaje kuona Afrika inavunja rekodi ya Guinness iliyowekwa na Wajerumani?Mbona unaiba picha za nchi zingine? You are not impressed with junky cars that embraced the Arusha Road show?😂😂🤣😂
Record gani mmevunja? Ebu tuambie😂😂🤣😂Je, unajisikiaje kuona Afrika inavunja rekodi ya Guinness iliyowekwa na Wajerumani?
NInajua akili zako ni ndogo sana. Nilikuwa najaribu tu kutest kama zimeanza kuingia kidogo, kumbe bado 🤣 🤣 🤣 🤣Record gani mmevunja? Ebu tuambie😂😂🤣😂
Tuambie ni record gani mmevunja, i want to see something😂😂🤣NInajua akili zako ni ndogo sana. Nilikuwa najaribu tu kutest kama zimeanza kuingia kidogo, kumbe bado 🤣 🤣 🤣 🤣