Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Siwezipewa advise ya maisha na mwenye anatudanganya na picha za mwanaume mwenzake na kuomba lift kwa pastor😂😂🤣😂.Maisha yako bado kijana ni ya kuunga unga huna uhakika wa kesho yako. Ukipata pesa uje. But now bado sana.
Siku utapata nguvu za kujiamini njoo tuongee😂😂