Sawa Quack. Tuseme mmeshinda DR Congo bao tatu bila, happy now?😂😂🤣😂Wewe DR Congo unamuweza kwenye viwango vya Fifa!?
Tena goli lenyewe TZ tumejifunga kupitia mchezaji wetu Clement Mzize.
Pasi na Tanzania kujifunga basi DR Congo wasingeshinda.
Ona sasa mnavyofuatilia wasanii wa bongo ha ha ha😎
Kumbuka Hadi sahii hamjaweka basi la umeme hapo Vumbistan.Ona huyu makalio mkangafuu!
Kwani hatujui kama ripoti zenu za kupikwa!?
sahii ndio nini?Kumbuka Hadi sahii hamjaweka basi la umeme hapo Vumbistan.
Unaonekana upo kwenye panic mode. Raki ndio nini?'Raki' tatu tu zinafanya muue mtu. Hii nchi Jo.🤣🤣 15k?
View: https://www.instagram.com/reel/DA8k724qfIh/?igsh=MWl6c3A1enR5YmpkNQ==
Hichi kijamaa kipumbavu eti kinawakosoa waTz kiswahili 😂😂😂 ajabu kweli.'Raki' tatu tu zinafanya muue mtu. Hii nchi Jo.🤣🤣 15k?
View: https://www.instagram.com/reel/DA8k724qfIh/?igsh=MWl6c3A1enR5YmpkNQ==
Utadhani kwao hakuna matukio ya ovyo kumbe ndio mabingwa.Hichi kijamaa kipumbavu eti kinawakosoa waTz kiswahili 😂😂😂 ajabu kweli.
Kuna tofauti ya individual na kampuni. Individual person anaweza kuua bila sababu ila kampuni iliyosajiliwa kuua mtu kisa amemshinda kulipa deni la 15k inaonyesha nchi imefeli.Utadhani kwao hakuna matukio ya ovyo kumbe ndio mabingwa.
View: https://www.youtube.com/watch?v=ZC6AqyQJdTk
Kweli wewe ni kima mpumbavu, sasa kikampuni binafsi kinahusiana nini na nchi kufeli.? 😂😂😂 kwa mkopo wa 300k Tz money.?Kuna tofauti ya individual na kampuni. Individual person anaweza kuua bila sababu ila kampuni iliyosajiliwa kuua mtu kisa amemshinda kulipa deni la 15k inaonyesha nchi imefeli.
Unapanua mdomo hapa na hata hiyo 300k Tz money ndio huna.kwa mkopo wa 300k Tz money.?
🤣🤣🤣Unapanua mdomo hapa na hata hiyo 300k Tz money ndio huna.
Hata sijui huyo jamaa hutoa wapi nguvu ya kuongelea pesa😂😂
Unajitetea kama kawaida, Kampuni haijatuma watu kuua mtu.Kuna tofauti ya individual na kampuni. Individual person anaweza kuua bila sababu ila kampuni iliyosajiliwa kuua mtu kisa amemshinda kulipa deni la 15k inaonyesha nchi imefeli.