Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu mulize walifanya comparison nchi gani ya East Africa alafu wakapata hao wako na gari ngapi and number two had how many electric vehicles πŸ˜‚πŸ˜‚.

Finally atuonyeshe hizo gari anazoongelea ziko wapiπŸ˜‚πŸ˜‚
Mwambie akupostie basi Moja electric inayofanya kazi hapo bongolala. Wanapenda kulia cooked data kumbe wao ndio Chefs.🀣🀣
 
watakwambia zimetoka kenya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://x.com/pabloyende/status/1843927608964329700?s=46
Tanzania is blessed country,ndio maana biashara tunaimudu kitu hatuna matabaka mtanzania anasafiri kokote ndani ya TZ na aulizwi mambo ya ukabila,kigoma huko utamkuta mpemba na duka lake na hamna anaemjudge,kingine TZ ilichobarikiwa ni mazingira mazuri ya kiutalii,sie wenyewe utalii wa ndani tunaupenda so tunasafiri sana ndani ya nchi yetu
 
Mukuru slums are about to be forgotten. This Dec people will start moving into these new houses.
 
Washapata Order nyingi kutoka watu watu wa utailii! Unless unataka kutuambia tour companies zenu wana hela kuliko wa Tanzania!
Of course our tour companies have more money than Tanzania's. I repeat. Zikinunuliwa more than 5 nahama Uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…