Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi ni gari za chaka to chaka sio gari za mkoa kwa mkoa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hakuna gari ya mkoa kwa mkoa inayo operate mbovu kama hivyo
Kwani hizo chaka ziko Tanzania ama Burundi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚.

Alafu Acha uongo hiyo ni gari ya mkoa kwa mkoaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizi ni gari za chaka to chaka sio gari za mkoa kwa mkoa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hakuna gari ya mkoa kwa mkoa inayo operate mbovu kama hivyo
Mbona hizo basi zenu hupata accident karibia kila siku? Au ni ju ni mchina. 🀣 🀣 🀣
 
Tanzanians ni travelers hii hapa ni Alfajiri.. stendi ya Nyegezi Mwanza πŸ‘‡πŸΎ
View: https://youtu.be/EblxEE_HZLU?si=w35-u4q2CwzoLfG0. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukipata chuma mbovu kama ile Teargas nakuruhusu upost πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Treni ya SGR bongo ikifika Mwanza itakua kawaida sana ku record 20k passengers a day. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…