Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Angalia wanaaume huku hiyo ni fleet ya mwaka Jana tu . Hakuna haja ya kuaanza kutafuta mtandaoni
Tutolee fake Chinese boxes hapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚. Hizi buses zenye napost are worth Ksh 28M while hizo za Kichina are only Ksh9MπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

Emirata 1.

18. Van Djik



 
Electric buses made in Kenya
View attachment 3118795
Mbona hazipo barabarani? Maisha yenu ni ya kuigiza mnachukua ka bus kamoja mnakaweka sehemu yenye unafuu mnakapiga picha alafu mnapost mitandaoni muonekane mmeendelea kuliko Tanzania, wageni wakija njia nzima wanakutana na huu uchafu πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Battle imekushinda, umeshindwa kuleta gari zilizonunuliwa mwaka huu unajaza saver , leta gari na plate number huwezi leta gari yenye plate number ya 2023 eti utudanganye ni ya 2024
Ulisema magari za Buscar hazifiki kumi, sasa mbona unalia tukianza kuzionyesha?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

19. Maino

 
Yule jamaa maepotea?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

Acha nimwekee ya mwisho, akirudi tutaendelea where we stoppedπŸ˜‚πŸ˜‚

Tumeacha at 22.

Aubamayang.
 
The day Tanzania will host any world sport event I promise I’ll raise Magufuli back from the deadπŸ˜‚πŸ˜‚

Kenya.
View attachment 3118660
View attachment 3118661
Marehemu kawafanyia nini maana kila saa Magufuli Magufuli mtu kafa 3 years ago lakini bado yuko kwenye midomo yenu inaelekea aliwafinya kisawasawa 🀣🀣🀣
 
hakuna kampuni ya kikenya inayoweza nunua fleet ya mabasi zaid ya kumi kwa mpigo
I said I’ll come back to this.

Malaika bought 20 buses at once each costing around Ksh 25MπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡



On the same day they bough 20 Couriers



And 40 Tablets each costing Ksh5M. Meaning angeweza kununua 22 Chineses using the money he used to buy these tablets πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Marehemu kawafanyia nini maana kila saa Magufuli Magufuli mtu kafa 3 years ago lakini bado yuko kwenye midomo yenu inaelekea aliwafinya kisawasawa 🀣🀣🀣
Lazima tu tukumbuke mwenye aliletwa Nairobi kupata matibabuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hawa nyang'au hata ufanyeje hawawezi kukuonyeha mabasi yao yako stendi kwa sababu wanaona aibu kuonyesha stendi zao😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…