Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Alafu wanafungwa na watoto wadogo wa Kenya😂😂🤣Hawa hawakosi kuwa na wajukuu😂
Alafu wanafungwa na watoto wadogo wa Kenya😂😂🤣Hawa hawakosi kuwa na wajukuu😂
Pata dakika chache za kufurahi. Maana na wewe ni binadamu. Baada ya hapo tunaendelea kuwapiga supana.2023 kulichezwa Kenya tukawanyandua pia, na uwanja was not empty kama hapo kwenu. Beating Tanzania is not new to Kenya😂😂🤣👇👇
View attachment 3117094
nijibu swali langu kwann na mwaka huu hazikuchezwa kenya kwani hakuna viwanja ???😂😂😂😂2023 kulichezwa Kenya tukawanyandua pia, na uwanja was not empty kama hapo kwenu. Beating Tanzania is not new to Kenya😂😂🤣👇👇
View attachment 3117094
😂😂😂👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻Bado Tuko kwa football ya Kenya Vs Tanzania. Why are Tanzanian Talentless?😂😂🤣😂
CECAFA huwa inakuwa rotated. This year was your year, next year will be Uganda then Rwanda then Burundi. Usidhani ati mlipewa hiyo tournament cause you earned it, no. Ilikuwa tu time yenu to host it😂😂🤣😂nijibu swali langu kwann na mwaka huu hazikuchezwa kenya kwani hakuna viwanja ???😂😂😂😂
Kunyan wakubwa pia kiumri,sio under 20 waleNimeangalia huu Mpira, kimsingi Tz walikua better than your team. Walipoteza mchezo kwasababu ya makosa kadhaa ikiwemo kuwadharau opponent.
Nilidhani kuwa tayari mmeshafuzu kumbe ni mechi moja tu. 🤣 🤣 🤣 🤣Jamaa hata hajui game ilikuwa inachezwa Tanzania 😂😂
Hiyo mechi moja tumefunga Tanzania 😂😂🤣Nilidhani kuwa tayari mmeshafuzu kumbe ni mechi moja tu. 🤣 🤣 🤣 🤣
Sisi tunaendelea na mambo mengu sana
View attachment 3117110
HIyo imepita mzee. Sisi ni watu wa football tunajipanga upya mechi bado zipo. Hapo ni group stage. Tunakuletea sasa real things. Mpaka ukonde usiku wa leo 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇Hiyo mechi moja tumefunga Tanzania 😂😂🤣
Na bado mtafungwa tu kama kawaida yenu😂😂🤣HIyo imepita mzee. Sisi ni watu wa football tunajipanga upya mechi bado zipo. Hapo ni group stage.
kama inauma niambie nichomoe 😂😂😂Hii gari ilikua on transit. Ukiipata na number plates za bongoslum nafunga hii account. 🤣 🤣
Hata hii siku tulikuwa tu na bahati 🤣🤣🤣Tutakutana tena in the same football pitch. Kwa team mbovu mliyonayo kushinda leo ilikua bahati kwenu 😂😂😂