Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

They had nowhere to go to and they were forced to go back to HQ, Tanzania huyu jamaa sijui saa hii angeshafichwa wapiπŸ˜‚πŸ˜‚


View: https://x.com/PatricMwongera/status/1840809106745008383
na kwann mlimkamata kama kweli muna democracy ya kweli?? juzi alikua kwao kina ruto akionesha stalled projects ambazo watu wameiba pesa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

hamuna hata project ya kusingiziwa sasa hvi zaidi ya talanta ya mchina ambayo hamutoi even a single bob na sijui mchina ataimiliki kwa miaka mingapi yarabi
 
Lamborghini yao hii hapa 🀣🀣🀣🀣
 

Attachments

  • Screenshot_20241001-044016_Opera.jpg
    23 KB · Views: 21
It's a marathon not a sprint ndio maana kesho lazima tutokee streets tena. Bongoslum hakuna men with balls, wote mumefinywa mak*nde na mama mmoja with no balls. 🀣 🀣 🀣 Nchi imejaa waoga.
Mmeuawa kama nzi na hamna chochote mmefanya, Tanzania haijawahi kuua raia 70+ toka nchi imepata uhuru πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na ukumbuke Moshi ni makao makuu ya mkoa ulio na highest standards of living pale Vumbistan. Sasa imagine ningeenda kwa hohehahe wao ingekuwaje?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwamba Moshi Ndio mkoa wenye highest standard of living in Tanzania.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au wewe ni zuzu.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…