Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatari
 
Highway za USA hazina BRT

Only foolish Tanzanians wants Kenyan highway to have BRT๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hayo mabarabara mijini yamepitwa na wakati, ni lobbying tuu ya the big three (GM, Ford, Chrysler) ndo inafanya yaendelee kuwepo.

Siku hizi hata mijini barabara zinapunguzwa lanes ili kuweka 'bike lanes' na wamejaza electric scooter watu watumie ili kupungunza idadi ya magari. Muombe ndugu yako mwaiofhawaii akuelimishe ili utoe ushamba.
 
Kimsingi interior design ya Arusha airport is better and beautiful than your number 2 best international airport. And guess what Arusha airport ni uwanja wa ndege ndogo za ndani tu. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kimsingi Arusha airport inafanana kibanda ya mkahawa, tena hile ya mabati. Outside it looks like a godown.
 
but nahisi kuna nafas kubwa ya kufanya extension upande wa kulia nafas ipo ya kutosha
Nafasi ipo ni kubwa lakini angalau lingetumika maninum miaka 15 ndio tufikirie extension, waliodisign tukubali walitumia akili ndogo sana, sababu tunategemea kila mwaka kuwa na ongezeko la angalau watalii 300k kwa idadi hii ya sasa tu watalii million 2 tayari limeonesha ufinyu mkubwa.

Ikumbukwe flights nyingi ni za watalii kuelekea national parks na Zanzibar, hatujaweka wa kaazi wa arusha kuelekea mikoa mingine na wa mikoani kuja arusha ambao nao idadi yao inaongezeka kila leo
 
Naongelea highway na wewe unaongelea town roads, canโ€™t you are discussing something far different from what Iโ€™m talking about?
 
Kwa jengo latest kama hili kuweka huu uchafu ni aibu kwa TAA kiukweli, hapa wamejidhalilisha

 
Kaka wakenya ni njaa Tu, kigamboni kunajengwa Matenk ya kuifazi Mafuta Mengi ili SASA badala ya kuorder Mafuta nchi za uarabuni watakuwa wakiorder kutoka Dar, Dar inajengwa gate ya meli kubwa za Mafuta, zikifika Tu zinashusha kwenye matenki hii itapunguza bei ya mafuta Kwa watumiaji waagizaji na pia kupunguza muda ya kuagiza Mafuta.
 
Mnafanya vitu Kenya ilishafanya kitambo sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ