Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtu mpaka leo bado anapost Thika road unadhani mchezo, hakuna miradi ya maendeleo Kenya, wanaona aibu ku left thread, ukiwaambia kuanzia leo tunapost miradi mipya ya maendeleo yenye thamani ya kuanzia $100ml thread inakufa kwasababu wataleta talanta then hakuna watakacholeta zaidi ya kelele.
 
talanta yenyewe mali ya mchina kqma ilivo expressway and GTC ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

yani serekali yao haina nguvu za kiume kujenga even 1km of paved road
 
yani nimecheka sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hivi sababu hasa ya chanjo ya Hep B kwa kichanga ambacho mama yake hana, wakati ugonjwa wenyewe huambukizwa kwa zinaa, ni nini?
Hep B hupatilana saba mahospitalini ambapo healthcare providers wana deal na damu hata maabara pia. Hivyo ni lazima kwa wafanyakazi wote wa afya kupata chanjo ya Hep B. Watoto huzaliwa hospitali ambapo uwezekano wa kupata hep B ni mkubwa kuliko mtaani hivyo ni lazima achanjwe mapema tuu.
Hep B huambukizwa through body fluids such as saliva, blood, semen etc
 
That's why I always call you fool, uyu anamuigizia waziri mmoja, anafanya drammer, arafu Kwa akili yako fupi unafikili Yuko serious.
Jamaa ako serious. Na nyinyi wote mko wajinga tu kama yeye kwa kusifu wanasiasa. You see politicians like they are gods.
 
Hata maana ya kupuuza hujui.
Jibu hoja.
Hoja gani unataka nijibu yet ulisema unanipuuza? Mr. Quack canโ€™t you survive without me in this thread?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Usija ukadhani hizo ni kama zile wazungu wana import kwaajili ya Car show manzee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hizi maล‚i za wabongo, and thatโ€™s one man car parade.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ