In 2021 aisee we ni ng'ombe!??
Lete ushahidi wa Magufuli kutibiwa Kenya!?Yet you take your Presidents to Kenya to be treated๐๐๐คฃ๐
Nenda hapo juu kidogo kwenye standi ya matatu ni pachafu sio poa
source by who??? ๐๐๐๐
Hana huyo nyang'au๐Lete ushahidi wa Magufuli kutibiwa Kenya!?
Usisahau mwaka huu tumewapa msaada wa dawa za TB.
Pigo jingine takatifu kwa kunyan loadin...Sijui utapost nini juu hii area imeshavunjwa ๐๐๐๐ najua itakuuma ila ugua pole pole. ๐๐sisi tumeamua kufanya noma kwenye sector ya miundombinu. Imagine huu mto wote we upgrading it to be seen like this ๐๐พ all the way. View attachment 3106369View attachment 3106370View attachment 3106372View attachment 3106375View attachment 3106374Najua hii itakuuma sana ๐๐๐ ila uzoee. Huu mradi unaitwa Msimbazi river basin dvt project. Nadhani watu huwapost kuhusu huu mradi humu ndani.. now I officially want to let you that we are developing with a light speed.
acha kuwapunja wanayo nyingine inaitwa KOROGOCHO CITYView attachment 3106456View attachment 3106457View attachment 3106458
Hongereni wakundustan kwa usafi uliotukuka