Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna place imevunjwa hapo, yakivunjwa utalala wapi juu unaishi hukoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚.

By the way Ebu tuonyeshe picha ama video hiyo place ikivunjwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚

Sijui utapost nini juu hii area imeshavunjwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ najua itakuuma ila ugua pole pole. πŸ˜‚πŸ˜‚sisi tumeamua kufanya noma kwenye sector ya miundombinu. Imagine huu mto wote we upgrading it to be seen like this πŸ‘‡πŸΎ all the way. Najua hii itakuuma sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila uzoee. Huu mradi unaitwa Msimbazi river basin dvt project. Nadhani watu huwapost kuhusu huu mradi humu ndani.. now I officially want to let you that we are developing with a light speed.
 
70% of Dar is Slum. Let that stick in your baboonius brain.
 
I can still see the same dumpsite like neighborhood spread all over the place. Did you know that 70% of Dar looks like that and whatever has been demolished isn’t even 0.00011%?
Ingia google tafuta Msimbazi River. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu ona unapoanzia hadi unapoishia in Dar then jua tunaendeleza huo mtu wote. πŸ˜‚πŸ˜‚ inauma eeh.? We are gonna build uncountable numbers of recreational parks all along. Hii najua ni habari mbaya kwako. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii picha sio TZ,angalia steering upande ilipo ya hiyo gari na plate number,uzuri wake endeleeni na propaganda zenu ambazo zinakuja kuwaumiza nyinyi wenyewe sie hata atujali tunasonga mbele
You are focused with the picture more than the information πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…