Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Hizi ni number tu 😂😂😂😂 hazina uhalisia wowote na vilivyopo ground.Watanzania wote ni wajinga.
In 2004 Tanzanian GDP was $16.8B while ya Kenya was $16.1B Kenya ilipita Tanzania 2005 and from that year up to date Tanzania huwa inasoma tu namba.
View attachment 3103590
Tunajua kwa ground unakula smocha ya 120 kwa kibanda. Which other ground do you want us to know?Hizi ni number tu 😂😂😂😂 hazina uhalisia wowote na vilivyopo ground.
Sama hiyo post juu hapo.Unadhani utabishana na mimi kuhusu maana ya neno.? 😂😂😂
Mną marcopolo G7 ngapi hapo kenya operating in Nairobi city so far.? Sisi tumeagiza units 1000 kwa anjili ya BRY in Dar 👇🏾View attachment 3103574View attachment 3103575and we already have 300 units(long car) golden dragon brand zinafanya kwa BRT.View attachment 3103578 Saivi yupo hapa 👇🏾View attachment 3103570you guys upo nyumba ya Tz for at least 20 years. 😂😂😂
Tunajua kwa ground unakula smocha ya 120 kwa kibanda. Which other ground do you want us to know?
So kwa ground ni ku-import magari instead of kutengeneza ndio is hata ya bigger GDP?Ukweli ujinga ni laana 🤣🤣🤣😂Sama hiyo post juu hapo.
Sisi hatuundi chuma Chakavu kama nyinyi 😂😂😂😂 ni bora tuagize ulaya au china.So kwa ground ni ku-import magari instead of kutengeneza ndio is hata ya bigger GDP?Ukweli ujinga ni laana 🤣🤣🤣😂
No wonder Tanzania will forever remain a Least Developed Country.Sisi hatuundi chuma Chakavu kama nyinyi 😂😂😂😂 ni bora tuagize ulaya au china.
Unajua kama Basigo ni BYD.? Chinese bus brand.?😂😂😂 unalijua hilo.?Wakati baboon is celebrating importing a bus from Brazil and promoting the economy of Brazil huku Kenya tunazitengeneza pekee yetu.
View: https://youtu.be/JHDRepbJZEo
Sina huo muda. 🚮🚮ok inawezekana mimi elimu yangu haiko sawa ila nimekuletea evidence hapo wewe leta evidence ya kimaandishi badala ya kukimbilia matusi. ubaya sijaanza kwa kutusi
Sisi hatuundi chuma chakavu. 😂😂 kwasababu chuma chakavu haiezi leta impact yoyote kwene uchumi.No wonder Tanzania will forever remain a Least Developed Country.
Ilibidi huyo nyang’au ajifiche kwanza uvunguni kusikilizia😎Naona labda huelewi.. girl maria jana kapigwa ngapi.? 😂😂😂
Basigo sio Chinese Bus brand. Basigo only import chassis parts from China Alafu everything else is built here in Kenya. For your information Basigo is now building electric buses with TATA chassis. Unajua hata chassis ni nini?Unajua kama Basigo ni BYD.? Chinese bus brand.?😂😂😂 unalijua hilo.?
Hiyo chuma chalavu is the reason Kenyan GDP is $30B bigger than Tanzanian GDP.Sisi hatuundi chuma chakavu. 😂😂 kwasababu chuma chakavu haiezi leta impact yoyote kwene uchumi.
BYD ni kampuni kutoka wapi???Basigo sio Chinese Bus brand. Basigo only import chassis parts from China Alafu everything else is built here in Kenya. For your information Basigo is now building electric buses with TATA chassis. Unajua hata chassis ni nini?
You can cry if you like. Marcopolo is not the only vehicle we sell to Tanzania.humu tuisema wakirudi watakuja na either picha za talanta au marcopolo . sasa gari zenye wakituuzia tano kwa mwaka mzima kelele kibao
BYD ni chassis, just like Scania and Isuzu. Apart from Chassis Kenyans make everything else to make a complete bus😂😂🤣BYD ni kampuni kutoka wapi???
kenya intengeza nn kwenye bus la BYD nitajie kifaa kimoja tu mm nifunge acc sasa hvi 😂😂😂😂😂😂😂
alaf ajabu wao ni ku assemble sio kwamba wanatengeza kila kitu wanafanya import ya vifaa vyote na tena kwa order sio kwamba bus unakuta show room hakuna 😂😂😂😂😂humu tuisema wakirudi watakuja na either picha za talanta au marcopolo . sasa gari zenye wakituuzia tano kwa mwaka mzima kelele kibao