Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acheni ushamba wa kuita vitu sijui international wakati ina hadhi ya kuhost ndondo cup tu kwenye scale za CAF.
Is there any stadium in Tanzania you can compare their interior with Kirigiti? Hata interior za Makwapa Stadium can’t come close to Kirigiti 😂😂
 

Daily mabati dose indeed😂😂🤣

1726899916070.jpeg
 
Hizi ni zawadi za birthday ya wajukuu wa matajiri bongo ila Kwa kwenya ni ya mwanasiasa baada ya kufanya ufisadi
Kwani bongo kunakuanga na Tajiri? The last time millionares that were living in Tanzanians were all Arabs and Indians😂😂😂.

Nyinyi wengine maybe mkuwe matajiri ya uchawi😂
 
Sasa kitu Cha Mabati usiseme ni Mabati kisa utasemwa una wivu?🤣🤣
Nilidhani JNIA ndio Mabati Rolling Mill, hii ya Arusha sasa ndio kiongozi kama ya Mabati Organization of Tanzanian airports😂😂😂
 
Kwani bongo kunakuanga na Tajiri? The last time millionares that were living in Tanzanians were all Arabs and Indians😂😂😂.

Nyinyi wengine maybe mkuwe matajiri ya uchawi😂
Na nyie Kenya huwezi kuwa tajiri mpaka ukue mwanasiasa mwizi ndo maana huwezi sikia biashara ya tajiri wa Kenya ila utaona jinsi anavyospend pesa ya wizi huku wakenya wakimsifia kwakuwa ni WA kabila yao
 
....and how's that progress? Gas is fossil fuel just like petrol and diesel. Stop being a fool.
Embu soma environmental impact ya hivyo vitu viwili.
Kwanza soma composition zake halafu uone kwanini gas inachaguliwa kuwa environmental friendly.
Screenshot_2024-09-21-10-10-37-66_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-21-10-06-38-42_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Back
Top Bottom