Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

umesema sio football stadium ila ni multipurpose ukiwemo na mpira leta vigezo vya football stadium kuwa approved by FIFA
Mkuu unabishana na huyo kiazi!??
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Swali ulilomuuliza kamwe hatokuja akujibu.
Kuna kitu kinaitwa multipurpose stadium hapa duniani!??
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tuliza papara.
Tangu lining Van ikawa nganya? Tukisema nganya tunaongelea hizi๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡


View: https://x.com/K24Tv/status/1829093466376458527

View: https://youtu.be/88zv8e0UJeM?si=naEXOXUxalcc700gleta nauli ya hii chai maharage. kitu amnacho haujui haya magari ambayo nyinyi mnaona ndo mmefika tumeachana nayo miaka ya 1990, huwez mpandisha mbongo gari yenye mastika hata kama hana hela hapandi bora atembee
 
the last time nilikuambia matusi hutaniweza ukitaka twende kwa matusi utakimbia. leta poof in writing sio hiyo ambayo hata mimi naweza itengeneza leta video watu wakitozwa 100 sio hiyo unayoizungumzia.
Utangoja sana. Kwa matusi sio wewe wa kwanza kunitisha, utakuja alafu mwishowe utalilia mods wanipige ban after after nimekupea za uso.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Utangoja sana. Kwa matusi sio wewe wa kwanza kunitisha, utakuja alafu mwishowe utalilia mods wanipige ban after after nimekupea za uso.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
tatizo lako ni njaa wala hutubabaishi haya vipi leta evidence ya wewe kulipa 100ksh kwenye hizo van zenu
 
tatizo lako ni njaa wala hutubabaishi haya vipi leta evidence ya wewe kulipa 100ksh kwenye hizo van zenu
Hata hiyo evidence bado utapinga juu zinaezalipwa na cash and MPESA. MPESA inatoa jina ya mwenye gari of which utapinga bado๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Hata hiyo evidence bado utapinga juu zinaezalipwa na cash and MPESA. MPESA inatoa jina ya mwenye gari of which utapinga bado๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
mngekuwa organised lazima leta link ya kwamba mimi naweza nikaccess nikaona nauli iliyopo kwenye mfumo kama mimi hapa naweza kukuletea nauli ya usafiri bongo bila kuhangailka, proof ukisema eti hela uliyolipa na mimi nina hela nalipaga kutoka posta kwenda mwenge kwa coaster tsh 5000 ila sio nauli ambayo ndo iko kwenye mfumo ila kwa raha zangu kwa sababu sitaki usumbufu naamua kulipa, sasa wewe tuletee nauli ya van ambazo ndo nyingi zinatumika kusafirisha majority
 
We punga ziko skating shoes za aina nyingi hizo zako ni for roller skating kiswahili Chake ni viatu vya matairi.
 
We punga ziko skating shoes za aina nyingi hizo zako ni for roller skating kiswahili Chake ni viatu vya matairi.
Skating shoes is the common name. Hizo zingine are like smaller rooms within a house.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ