Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huna baiskeli, baby class maybe you owned a drawn bicycle. And for your information the shoes are known as skating shoes sio viatu vya matairi, you are mshamba pro max spiced with umaskini ndani yake.

Anyway back to bicycle, kama uko na baiskeli Ebu tuonyeshe. Usipoenyeshe utakuwa umeprove point yangu that you are too poor that you can’t even afford a bicycle.
 
Huko tumetoka kitambo ,saizi tuko huku πŸ‘‡πŸ‘‡
View: https://youtu.be/39dr81097I8?si=_2rgo6pbuXQA__T5
Mmetoka kitambo while you only have three flyovers in entire Tanzania?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚.

For your information hata bado hamjaanza na mambo ya elevated roads ( Flyover, overpass, interchanges etc). Again that thing you are showing us iko Kakamega, meaning in road development Dar ni size ya Kakamega.
 
flyover mnazijengewa ni kwa ajili ya viongozi wenu kuendelea kuwapiga pesa, haileti maana leo kuendelea kuijenga nairobi wakati kuna sehemu kibao za nchi yenu hazina maendeleo.
ukiangalia miradi yenu mingi ambayo ingekuwa ndo kama boost ya uchumi wenu na kuwainua wananchi wengi ikiwa imesimama ila kwenu mnasifia majengo na vitu vye uelekeo wa kupendezesha nairobi tu.
 
flyover sio vipambaule vyetu na ndo maaana sisi tumejikiti kwenye rapid bus transport, maana kukiwa na uhakika wa usafiri automatically magari yatapungua, hakutakuwa na haja ya flyover ni kupoteza muda
 
Is your head ok? How do start comparing takataka ya 30,000 seats and a proper football stadium like Talanta? Hiyo takataka ngoja iishe kwanza ulinganishe Masinde Muliro Stadium in Bungoma.
Mzee tuliza fuvu, Tanzania kuna Benjamin mkapa stadium proven by FIFA 60,000 seats, nyie ndio bado mnajitafuta, Tunajenga Arusha Samia stadium 30,000 seats arafu Dodoma 60,000 seats
 
Unadhani mimi ni mpanda daladala kama wewe.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mzee tuliza fuvu, Tanzania kuna Benjamin mkapa stadium proven by FIFA 60,000 seats, nyie ndio bado mnajitafuta, Tunajenga Arusha Samia stadium 30,000 seats arafu Dodoma 60,000 seats
Kasarani is approved by FIFA. Benjamin Makwapa is not a football stadium.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…