Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ziko cranes 4 as of now. A total of 8 cranes will be used. Hile yao ya Arusha naskia imekwama tena๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
ya arusha inawaumiza sana vichwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

tofaitosha talanta na arusha, talanta ni mali ya mchina na ataimiliki yeye mwenyewe lakini arusha ni mali ya serekali na inajengwa na serekali

natumai sijakukera na ukweli๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Kitu ya 30,000 seats iniumize kichwa?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.

Ukileta evidence Talanta ni Mali ya mchina nahama JF for good๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Sasa stadium ya 30,000 inaezafanya mtu alie? Saa hii utensil umesimama juu contractor bado hajapewa pesa bado.

Na ujue opening and Closing games ni Talanta Stadium, hiyo ya Arusha maybe itakuwa tu training ground for some teams.
Naona umeendelea kuonyesha maumivu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ cry harder.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ