NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,285
- 19,631
Umeiweka mwenye ila kuelewa ndio umeshindwa. Soma kile ulichoweka polepoooole utaelewa.Weka hapa maana ya van from English dictionary nitoke JF sasa hivi.
Unafikiri mzungu ni mjinga aite gari ya abiria van kwani anabeba mihogo humo ndani.
Hakuna kitu nimetoa, ni wewe ndiye hujui kuattach picha kwa post. Vitu basic hujui, Kiingereza hujui.Mbona umeniquote ukaondoa ile translation ya neno van kwenye dictionary.
Ujanja ujanja mdogo kama huu ndio huwaaribia mambo mengi.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unajua hawa waandisho wetu ni shida kuelimisha wstu vizuri unaweza kukuta hapo inajengwa ubungo terminal ambayo itakutanisha mabasi ya morogoro road sam nujoma na Mandela ila wao wanasema depot.Nyuma ya mall kuna depot mbona kitambo tu, eneo linalojengwa depot kubwa ku replace ile ya pale jangwani ni pembeni ya kituo cha daladala simu elfu mbili ambapo kimsingi ni eneo la soko la machinga, ndio mana juzi kati waligoma jamaa.
Mbona unataabika kuandika maneno mengi wewe weka hapa from the dictionary umalize utata sasa ngonjera ya nini tena?Umeiweka mwenye ila kuelewa ndio umeshindwa. Soma kile ulichoweka polepoooole utaelewa.
😅 wabongolala kwa story za kujitungiaMkuu mimi hawa jamaa ni jirani zangu sana... Ni mwendo wa kutembea tu kuingia kwako..
Kwa sasa wao ndio wana import sabuni kutoka Bongo... Sunda na mambo yao ya kleensoft wame leta mapinduzi makubwa sana kwenye sabuni na detergents. Sabuni za Bongo zinagombaniwa sana kunyaland maana ni bei rahisi na zinatakatisha bila kuharibu mikono. Hata sabuni yao ya kipande ya jamaa now kuna mbadala zipo nyingi
Mafuta ya taa tu ndio kitu kinanunulika kwa wingi kutoka kwao... Cement kuna mchina ameweka kiwanda KLM huko hata twiga cement watu hawana habari nayo
Hii tabia ya kukwepa mjadala ulioshindwa is Straight outta KiberaHakuna kitu nimetoa, ni wewe ndiye hujui kuattach picha kwa post. Vitu basic hujui, Kiingereza hujui.
Tuoneshe hizo offices.
Onesha ofisi tafadhali acha janjajanja gari yoyote inaweza ikapigwa picha nje ya jengo lolote lile. 🤣🤣🤣🤣
Office za mabasi yote ziko hapa na raia wanapandia hapa??
Wewe unakuanga mjinga sana. Passenger number can’t be used to determine the type of a vehicle. A 15 meter bus can be modified to carry only 10 passengers and a 8 meter mini bus can be modified to carry 44 people. That’s why length is usually used to differentiate between a coach and a minibus. Anyway, I don’t expect you to know much since your knowledge is usually next to zero.elewa swali nimekuuliza mini bus inaanza kubeba watu wangap???😂😂😂
Kama kawaida yako umerukia discussion bila kujua ilikotoka na inakoenda. You are a foolish quack😂😂😂🤣Office za mabasi yote ziko hapa na raia wanapandia hapa??
Onesha ndani kwenuy waiting lounge ya abiria
Mwendo ni wa kunyeshewa na kuchomwa na jua proper😂😂
Kitungu lorry moja isn’t even $500.😂😂🤣😂Unajua lorry la kitunguu lina gharama gani kulijaza? Kitunguu kimoja mnauziwa bei gani na kwenye lorry vipo vingapi?
So Huoni hapo kama imeandikwa Mash? Bro unakuanga mjinga sana. Hujuangi kusoma ama?Onesha ofisi tafadhali acha janjajanja gari yoyote inaweza ikapigwa picha nje ya jengo lolote lile. 🤣🤣🤣🤣
Usitafute kisingizio bro,ila nishakuzoea.Kama kawaida yako umerukia discussion bila kujua ilikotoka na inakoenda. You are a foolish quack😂😂😂🤣
Endelea kuumia.Onesha ndani kwenuy waiting lounge ya abiria
What’s the meaning of their offices according to you? Underline the word offices.Usitafute kisingizio bro,ila nishakuzoea.
Uliletewa picha ya stendi ya mabasi ukadai zile ni stendi za mini bus ambazo zinaenda masafa mafupi.
Ukasema bus kubwa za route ndefu zina office zake hazihitaji kubanana hapo.Au siyo wewe!?
Nikakwambia lete picha ya hizo offices,ukaleta picha moja.
Ndio nakuuliza tena kwahiyo office hiyo ndio ya makampuni yote ya bus!??
Jibu ndio au hapana.
Acha usenge.