concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,468
omo zishapitwa na wakati, ni watu wachache sana wanatumia hizo sabuni, geisha nina miaka hata siioni sokoni,mafuta ya taa sijui kuna hata anafikiria kuinvest kwenye mafuta ya taa maana mimi najua yanatumikaga kuwashia kibatariSabuni za Omo na geisha ๐๐๐
sabuni gani wanaleta huku, wakat huku kuna sabuni za kila aina sijui doff, azania, mo etcBidhaa mnayoleta zaidi huku bongo ni sabuni, je hizo sabuni zina gharama gani.? ๐๐๐
kwani hamuna habari jirani kanyolewa nyumbani kwake ๐๐๐๐๐
View: https://x.com/cafclcc/status/1835053484628230638?s=46
Sijaelewa kiongozi? Wanataka kupanua barabara ya Simu2000 au?ww nae acha kuongea pumba unajua hio depot inajengwa wapi?? uliza kama huna ulijualo, hio ni barabara ya inafungwa ili ujenzi uanze rasmi na depot inajengwa nyuma ya ile mall kubwa ya ubungo
We kijana, unadhani bus zetu hazina office? Zina mpaka depot zao.Long distance have their offices where they feel more comfortable. Why should you take them to a congested place?
mwambie akuletee picha za ofisi zao kwanza tufanye comparisonWe kijana, unadhani bus zetu hazina office? Zina mpaka depot zao.
Kubali hamna organized public transportation system.
Kupaki ovyo ovyo.
Mind you kuna stand mpaka za Daladala huku.
Hata hilo la Adani awaambie Tanzania tumeuza Port, Mbunga, BRT Kwa Adani huenda wakaacha kuandamana. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃWakiambiwa bila IMF shilling itashuka watakubali tuu na maandamano hayatakuwepo. Ruto unakosea wapi mpaka tukupe mbinu ya kuwa manage hawa nyangau wadogo?
Yaani Hawa watu,ubaguzi umejaa ndani ya damu Yao,msamehe,ni laana ya huko kwaoWhat do you mean native Tanzania? Who is not Native Tanzania?
Yote for saying "SIONGEI NA MBWA NAONGEA NA MWENYE MBWA"Hata hilo la Adani awaambie Tanzania tumeuza Port, Mbunga, BRT Kwa Adani huenda wakaacha kuandamana. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Huwezi amini wanaamini, nakumbuka Enzi za kikwete niliamini tumeuza nchi nzima dah Magufuli alipoingia kumbe not as I thought, mpaka sheria za kulinda zinapitishwa bungeni bila kelele ya waliouziwa nilijua ulikua ufisadi.
Uzuri now kuna Sheria babalao "Permanent Sovereignty on all natural resources"
Hao wanajichekesha eti Kuna watu wamenunua Ardhi na kuimiliki, wakumbuke wanainunua kwa mwavuli wa uwekezaji ukishindwa iendeleza inarudi kwa Wananchi.
Na wananchi wakigundua sio Mtanzania kesho unalo na itarudi?.
The worst thing foreigner anaweza fanya hapa Tanzania ni kuwakejeli wananchi juu ya umiliki sijui ardhi or anything na kusema hawatafanya lolote "DON'T TRY THESE" Hata ukiwa Mtanzania tajiri.
Wapo wengi walifanya Enzi za kikwete, Akaingia Magufuli walifilisika vibaya sana na wengine kunyea ndoo.
This means Tanzania got lots to offer, more days in Tanzania more dollars spent, Kunyaland offers nothing masai mara their cream de la creme is kind of a zoo to tour like a few minutes park walk you're already done, Serengeti utatumia a whole week to navigate na usiimalize na bado parks nyingine 30 hujagusa na bado wanapata guts za kurival na Tanzania
View attachment 3096002
Acha dharau kijana, hivyo vitu vinawafanya muingie barabarani kung'oa Raisi mkishindwa vimudu.Sasa malorry zimejaa mahindi na vitunguu tupu ziko na value gani?
Kujaza tu boarder.
Nyuma ya mall kuna depot mbona kitambo tu, eneo linalojengwa depot kubwa ku replace ile ya pale jangwani ni pembeni ya kituo cha daladala simu elfu mbili ambapo kimsingi ni eneo la soko la machinga, ndio mana juzi kati waligoma jamaa.ww nae acha kuongea pumba unajua hio depot inajengwa wapi?? uliza kama huna ulijualo, hio ni barabara ya inafungwa ili ujenzi uanze rasmi na depot inajengwa nyuma ya ile mall kubwa ya ubungo
Hata hilo la Adani awaambie Tanzania tumeuza Port, Mbunga, BRT Kwa Adani huenda wakaacha kuandamana. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Huwezi amini wanaamini, nakumbuka Enzi za kikwete niliamini tumeuza nchi nzima dah Magufuli alipoingia kumbe not as I thought, mpaka sheria za kulinda zinapitishwa bungeni bila kelele ya waliouziwa nilijua ulikua ufisadi.
Uzuri now kuna Sheria babalao "Permanent Sovereignty on all natural resources"
Hao wanajichekesha eti Kuna watu wamenunua Ardhi na kuimiliki, wakumbuke wanainunua kwa mwavuli wa uwekezaji ukishindwa iendeleza inarudi kwa Wananchi.
Na wananchi wakigundua sio Mtanzania kesho unalo na itarudi?.
The worst thing foreigner anaweza fanya hapa Tanzania ni kuwakejeli wananchi juu ya umiliki sijui ardhi or anything na kusema hawatafanya lolote "DON'T TRY THESE" Hata ukiwa Mtanzania tajiri.
Wapo wengi walifanya Enzi za kikwete, Akaingia Magufuli walifilisika vibaya sana na wengine kunyea ndoo.
Weka hapa maana ya van from English dictionary nitoke JF sasa hivi.Kiingereza ndio balaa, hungejiaibisha hivi.
Kiingereza ndio balaa, hungejiaibisha hivi.
Tuoneshe hizo offices.Long distance have their offices where they feel more comfortable. Why should you take them to a congested place?
Kwahiyo wanawafukuza Wananchi wasifanye biashara kwa maslahi ya Taifa halafu wanaleta Mwendokasi ili ifanye biashara kwa maslahi ya Mwarabu!? Magufuli alikosea sana kumuweka Yule BiโKidude kuwa Vice wakeโฆโฆโฆโฆalikosea sanaNyuma ya mall kuna depot mbona kitambo tu, eneo linalojengwa depot kubwa ku replace ile ya pale jangwani ni pembeni ya kituo cha daladala simu elfu mbili ambapo kimsingi ni eneo la soko la machinga, ndio mana juzi kati waligoma jamaa.
Omo ipo lakini siku hizi hainunuliwi sana bei iko juu na ushindani unekuwa mkubwa kwa sabuni za ndani. Geisha ndio sijaiona muda mrefu.Sabuni za Omo na geisha ๐๐๐
Zamalek hivi unawajua mkuu??kwani hamuna habari jirani kanyolewa nyumbani kwake ๐๐๐๐๐
View: https://x.com/cafclcc/status/1835053484628230638?s=46