concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
kweli lakini kajazeni treni yenu ya leo kwenda MombasaYani Wadanganyika ni wadanganyika tu. Nina uhakika hizo figure hata 2000 kwa siku hazifiki. Na mkumbuke SGR yenu inafocus sana sana kwa mizigo, yenu hata sidhani kama mizigo inabeba.
I think huyu jama ndio kiongozi wa shoga wote Tanzania😂😂🤣😂
Have you ever heard that phrase saying, “ If you want to please a fool tell them what they want to hear. Tell them what will please and make them sleep peacefully”?😂😂🤣😂Yani Wadanganyika ni wadanganyika tu. Nina uhakika hizo figure hata 2000 kwa siku hazifiki. Na mkumbuke SGR yenu inafocus sana sana kwa mizigo, yenu hata sidhani kama mizigo inabeba.
Umeanza matusi. Unanijua vizuri. Kama mada za hapa JF zimekushinda nenda KiberaWewe shoga tulia😂😂😂.
ila mzee una mkono kubwa utasema kono la sokwe 😂😂😂😂😂😂
Dole ngumba umeliona? 🤣 🤣 🤣 🤣ila mzee una mkono kubwa utasema kono la sokwe 😂😂😂😂😂😂
na bado still hawajui kama SGR yetu bado iko kwenye trial period bado mkandarasi yupo nchini bado designer yuko nchini mpaka kuda wa uangalizi uishe 😂😂Kuna ngedere na bundi wanafurahi treni yetu kupata hitilafu kana kwamba itabadili gari moshi lao liwe la maana. Hawa kenge hawajui hata dunia inaendaje zaidi ya kula ugali na sukuma wiki pale kibera. Niwaambie tu haya mambo ni ya kawaida kwenye ulimwengu wa train za umeme, ila siwalaumu kwasababu hawajui train ya umeme ni nini, wanaiona tu kwenye TV na wakijitahidi wakichungulia kwa jirani.
Tokyo-Osaka bullet train services halted for hours after power failure
Bullet train services between Tokyo and Osaka were halted for hours on Saturday afternoon due to a power failure, affecting around 97,000 travelers, as a sweltering heat wave hit the Pacific side of the Japanese archipelago, Central Japan Railway Co. said.english.kyodonews.net
Power cut halts China's new high-speed train
A power cut brought the new $33 billion high-speed rail link between Beijing and Shanghai to a standstill Sunday, Chinese railway authorities said, just 10 days after its high-profile launch.sg.news.yahoo.com
Power Outage Halts Amtrak Trains, Stranding Thousands -
A power outage halted Amtrak trains on Wednesday evening, causing thousands of passengers to be stranded — and they're not the only ones affected by the outage.retailwire.com
Power outage-hit Japan bullet trains to remain halted throughout day
Tohoku, Joetsu and Hokuriku shinkansen lines affected by electric wire issuesasia.nikkei.com
ndio nashangaa kuona vidole vimepinda utasema barabara ya bunyokwa 😂😂Dole ngumba umeliona? 🤣 🤣 🤣 🤣
Hua zinapata hitilafu often kama hio yenu ama? The frequency ya hitilafu matters a lot.Kuna ngedere na bundi wanafurahi treni yetu kupata hitilafu kana kwamba itabadili gari moshi lao liwe la maana. Hawa kenge hawajui hata dunia inaendaje zaidi ya kula ugali na sukuma wiki pale kibera. Niwaambie tu haya mambo ni ya kawaida kwenye ulimwengu wa train za umeme, ila siwalaumu kwasababu hawajui train ya umeme ni nini, wanaiona tu kwenye TV na wakijitahidi wakichungulia kwa jirani.
Tokyo-Osaka bullet train services halted for hours after power failure
Bullet train services between Tokyo and Osaka were halted for hours on Saturday afternoon due to a power failure, affecting around 97,000 travelers, as a sweltering heat wave hit the Pacific side of the Japanese archipelago, Central Japan Railway Co. said.english.kyodonews.net
Power cut halts China's new high-speed train
A power cut brought the new $33 billion high-speed rail link between Beijing and Shanghai to a standstill Sunday, Chinese railway authorities said, just 10 days after its high-profile launch.sg.news.yahoo.com
Power Outage Halts Amtrak Trains, Stranding Thousands -
A power outage halted Amtrak trains on Wednesday evening, causing thousands of passengers to be stranded — and they're not the only ones affected by the outage.retailwire.com
Power outage-hit Japan bullet trains to remain halted throughout day
Tohoku, Joetsu and Hokuriku shinkansen lines affected by electric wire issuesasia.nikkei.com
Unaposema Frequency unamaanisha nini? Zimepata hitilafu mara ngapi? Kwa kumbukumbu yangu ni mara tatu tu tangu tuanze.Hua zinapata hitilafu often kama hio yenu ama? The frequency ya hitilafu matters a lot.
hata tuambie yetu imepata hitilafu ngap?Hua zinapata hitilafu often kama hio yenu ama? The frequency ya hitilafu matters a lot.
Halafu uzuri watanzania hawana hata shida wameridhika na maelezo. Wanaoumia sasa ni Wakenya na watu ambao hawasafiri na treni.hata tuambie yetu imepata hitilafu ngap?
na hapo still yetu iko kwenye trial period haya tudanganye sasa
2 years later, the trial period haijawai isha. 🤣 🤣 🤣 Wacheni jokes.hata tuambie yetu imepata hitilafu ngap?
na hapo still yetu iko kwenye trial period haya tudanganye sasa
Naona figure zimekushtua. Pole sana waulize youtuber wenu kama kuna trip wa;ienda na treni haukujaa. In fact watu wanataka more trips ila TRC wako reluctant hawawezi kutumia hizi numbers kuweka ratiba ya kudumu kwasababu mpaka sasa hawajui ni real demand au ndio wale wanapanda kutoa gundu.Yani Wadanganyika ni wadanganyika tu. Nina uhakika hizo figure hata 2000 kwa siku hazifiki. Na mkumbuke SGR yenu inafocus sana sana kwa mizigo, yenu hata sidhani kama mizigo inabeba.