Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So ile franchised and non franchised dealership uliyo-outline mwanzo ulikua umelewa?..non-franchised dealership now isn't 'dealership'?!..
Bongoslum mumezoea dealership za mchongo.

BMW Kenya Dealership



BMW Tanzania Dealership aka Noble Motors aka Dealership ya mchongo, wanauza hadi dongfeng. 🤣🤣🤣

 
Debt restructuring is a common practice in finance, it does not mean the lender has any plan to default.
Mara nyingi wanaoomba extension ni wale ambao tayari tathmini imefanyika hawatakua na uwezo wa kumaliza muda husika.
Au rais wenu kichaa kuomba aongezewe muda!!??
 
Ukiweka picha za jengo mojamoja kutoka Thika utaweza!?. Even the kind of Estates in Thika, Dar es Salaam can never.
Google
Thika Green
Migaa Golf Estate
 
Ukiweka picha za jengo mojamoja kutoka Thika utaweza!?. Even the kind of Estates in Thika, Dar es Salaam can never.
Google
Thika Green
Migaa Golf Estate
View attachment 3087016
Tanzania hatu entertain estates Bali dream houses.

View: https://www.instagram.com/p/C7O-VGgqnfv/?igsh=ZnNhd2NlaXNzMXZ5
View: https://www.instagram.com/p/C4gM2Gmq4fE/?igsh=cTVjM21xMG43dXN3
Kwani ulikuwa unaweka picha za aje kama sio hizo Moja Moja? Weka dream houses zenu za locals tuone 😂😂

Mwisho ,Thika ni Kaunti gani na Ina GDP ya ngapi?

View: https://www.instagram.com/p/C19jVh2qAdw/?igsh=cGo0cDZjbWk5Mnpx
View: https://www.instagram.com/p/C0QKrNYic0k/?igsh=dWV4czAweGh6eWRi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…