NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,284
- 19,626
So Wikipedia page ya China-Tanzania relations ndio proof yako? Hivi hujui Kila nchi inayo? Umefika level Gani kimasomo bradhee?🤣🤣Mie huwa kubishana USENGE siwezagi.
View attachment 3086680View attachment 3086681View attachment 3086685
Wivu ya nini wee Mvumbistan?Mkundustani akiwaka kwa wivu!
Mavi huwa hayasafishwi. Kenya ni la kuvunda; Halina ubaniWivu ya nini wee Mvumbistan?
Yani babako awe ombaomba alafu uniambie ni Tajiri na nikuonee wivu?
Mimi nacheka bro.
Yaani Tanzania isiwe na history na China kwa yote haya yaliotokea, Kunyaland ndio iwe nayo? 😂😂😂So Wikipedia page ya China-Tanzania relations ndio proof yako? Hivi hujui Kila nchi inayo? Umefika level Gani kimasomo bradhee?🤣🤣
Ona mwengine.🤣🤣🤣Yaani Tanzania isiwe na history na China kwa yote haya yaliotokea, Kunyaland ndio iwe nayo? 😂😂😂
View attachment 3086705
Tupatie history ya Kenya, hata ya kubuni tu.Ona mwengine.🤣🤣🤣
Ukiondoa uombauomba wenu nchini China, kipi kingine kinaweza kuwafanya msimame kwenye picture kama hivi na Rais wa China? 😂😂😂Ona mwengine.🤣🤣🤣
Huyo hajakanyaga chekechea. 🤣 🤣So Wikipedia page ya China-Tanzania relations ndio proof yako? Hivi hujui Kila nchi inayo? Umefika level Gani kimasomo bradhee?🤣🤣
🤣🤣🤣Ona mwengine.🤣🤣🤣
Bro unaruka ruka nini!??So Wikipedia page ya China-Tanzania relations ndio proof yako? Hivi hujui Kila nchi inayo? Umefika level Gani kimasomo bradhee?🤣🤣
Utabadili Accounts zako zote leo. Tueleze, nini sababu ya Kenya kuwa na uhusiano na China?Huyo hajakanyaga chekechea. 🤣 🤣
We waache kuna bomu nalisuka huku nakuja kulitupa hapo.Utabadili Accounts zako zote leo. Tueleze, nini sababu ya Kenya kuwa na uhusiano na China?
Ukiona amekuja na Account nyingine ujue anatafuta exit point. Anatafuta namna ya kukukimbiaWe waache kuna bomu nalisuka huku nakuja kulitupa hapo.
Nimesema urafiki wa Tanzania na China ni kama wa ndovu na panya. Tanzania haina manufaa yoyote kwa China ila China ina huruma kwa Tanzania. Na nikasema the average Chinese on the streets haijui Tanzania.Bro unaruka ruka nini!??
We si umesema Tanzania haina urafiki na China!?
Au sio wewe!?
We si umesema Tanzania haina ushirikiano na China ni misaada tu wanapewa!?
Nakuletea maelezo ya urafiki na ushirikiano baina ya China na Tanzania unaanza kuruka.
Unaruka nini?
We ni umedata!?
Huu mnasherehekea sisi tunauita upuzi na kujidhalilisha.🚮🚮Ukiondoa uombauomba wenu nchini China, kipi kingine kinaweza kuwafanya msimame kwenye picture kama hivi na Rais wa China? 😂😂😂
View: https://x.com/TZMsemajiMkuu/status/1178177342063161344?t=sSjSchAvpsLtfWY7rvVF4g&s=19
Hakuna uhusiano wowote wa Ndovu na Panya. Hujui namna ya kutumia misemo. Nenda shule kwanza ukajifunze KiswahiliNimesema urafiki wa Tanzania na China ni kama wa ndovu na panya. Tanzania haina manufaa yoyote kwa China ila China ina huruma kwa Tanzania. Na nikasema the average Chinese on the streets haijui Tanzania.
'Urafiki' wa Tanzania na China hauna tofauti na 'urafiki' wa Kenya na China, Uganda na China, Zambia na China, Rwanda na China etc. Mnajipatia umaarufu msio nao kwa kujiona mko na something special na China wakati hata Kenya inajulikana China kushinda Vumbistan. Kenya inapata watalii wengi kutoka China kuliko Vumbistan.
Huu uongo unaupata wapi!??Nimesema urafiki wa Tanzania na China ni kama wa ndovu na panya. Tanzania haina manufaa yoyote kwa China ila China ina huruma kwa Tanzania. Na nikasema the average Chinese on the streets haijui Tanzania.
'Urafiki' wa Tanzania na China hauna tofauti na 'urafiki' wa Kenya na China, Uganda na China, Zambia na China, Rwanda na China etc. Mnajipatia umaarufu msio nao kwa kujiona mko na something special na China wakati hata Kenya inajulikana China kushinda Vumbistan. Kenya inapata watalii wengi kutoka China kuliko Vumbistan.
Hata mimi nishamalizana mjadala huwa siendekezi mjadala wa mtu mwenye net worth sawa na Shilole.Nilikuambia mambo ya Kipchoge na Hersi sijadili tena. Ni kumkosea Kipchoge heshima.
We told you Kinachokusumbua ni wivu baada ya nchi yenu kuwa malaya. You don't know who is your not friend and who is your allyHuu mnasherehekea sisi tunauita upuzi na kujidhalilisha.🚮🚮