Ndipo wanapoelekea kaka π π π π
π π π π aisee hii nchi inatisha
View: https://x.com/MoraraKebasoSnr/status/1830670749545484571?t=EAhkSrCSdE2F6S-XQv51Gw&s=19
Port gani imeenda? Is it possible kuuzia watu watatu port moja? TPA, DP WORLD, ADANI?Enjoy ,but in the meantime huko kwenu vitu kama hizi ni ndooooto.
Port yenu ilishaenda but hakuna Ata nzi hapo wamefungua mdomo .
Nchi ya Wanawake tupu.
Enjoy ,but in the meantime huko kwenu vitu kama hizi ni ndooooto.
Port yenu ilishaenda but hakuna Ata nzi hapo wamefungua mdomo .
Nchi ya Wanawake tupu.
Embu nijibu kama mwanaume port kauziwa DP World au Adani maana naona unatuchanganya sasaEnjoy ,but in the meantime huko kwenu vitu kama hizi ni ndooooto.
Port yenu ilishaenda but hakuna Ata nzi hapo wamefungua mdomo .
Nchi ya Wanawake tupu.
Hapo kenya kuna stendi yoyote ya viwango hivi mzee.? ππππMiji ya Utanzakundu bana πππ, LDC type shit kabisa. Haya ndio hio aerial view ya stendi ambayo hamuileti humu.
View attachment 3085770
Hata ulaya hakuna huu ulimbukeni πHapo kenya kuna stendi yoyote ya viwango hivi mzee.? ππππ
"The most dangerous bridge east and central Africa".ππππππππ.π π π π aisee hii nchi inatisha
View: https://x.com/MoraraKebasoSnr/status/1830670749545484571?t=EAhkSrCSdE2F6S-XQv51Gw&s=19
kama majengo yanaanguka na madaraja yanaanguka kila siku, unategemea nn?"The most dangerous bridge east and central Africa".ππππππππ.
Halafu hili daraja sio tu ni hatari kwasababu ya kutokuwekwa vizuizi pembeni,bali pia halina ubora,ukilitizama pembeni daraja jipya ila ufa mwingi na limemomonyoka sehemu zingine.
Hili daraja wallahi ikitokea mvua za masika linaondoka na watu.
Linabomoka hili.
Halafu eti kipande hiko tu kimejengwa kwa bilion 1.8 za kikenya,aissshh!!
Kenya wajeni wizi mazeeh utawamaliza.
Miji ya Utanzakundu bana πππ, LDC type shit kabisa. Haya ndio hio aerial view ya stendi ambayo hamuileti humu.
View attachment 3085770
Ruto yupo Beijing busy akitembeza bakuli!
View: https://x.com/C_NyaKundiH/status/1830698208617443782mara ya mwisho nasikia mabasi kutekwa bongo ni miaka ya 2005 tena njia ya nyakanazi. jeshi bora afrika miaka hii bado utekaji unaendelea