Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe mwehu kabisa wazo la SGR limeanza kwa kikwete na ilikua Aanze awamu yake ya mwisho lakini muda wake ulikua umeisha ndio akaanza magufuli na nyinyi mulivosikia Tanzania inampango ya SGR ndio mukakimbia china kwenda kuingia mkataba ya ovyo kuwahi kutokea duniani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Haya ona Leo munavoaibika, mchina kawapelekea pumzi ya Moto mpaka Leo hamuna hamu nayo, mumekalia kutafuta kasoro za SGR ya Tanzania ili mupate matumaini na faraja, haya kiko wapiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Sisi Nye Nye nyeee, wewe unataka freight ianze VP wakat miundombinu yake haijakamilika kuelekea port au hujui kama treni ya umeme itapita chini kwa chini mpaka inatokezea port πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hakuna miundombinu kama hii africa nzima mzee


Yani munaharaka kweli na SGR Tanzania na sijui kwann munaumia Sana Kias hichi
 
Natumai umemjibu vizuri na ameridhika kabisa.
 
Nyinyi sio sisi, sisi sio nyinyi. Kiakili tuko tofauti kabisa.
 
Wale machinga wanaharibu interface ya mbezi mwisho,halafu serikali inawaangalia tu
 
Wewe bado kilaza hii miaka yote! Kikwete alipata fununu za SGR kutoka Kenya, Kenya ilitaka kumuhusisha, ila kama kawaida ya akili za CCM akarudi nyuma, ndio Coalition of the willing ikabuniwa, CoW, yule mwoga na wenye wivu wakaachwa nyuma, kama mnavyo sita sita na EAC political federation, wewe na umwehu wako hauniambii lolote, kwa vile haujui lolote!!..,
Mizigo ya kutosha mtatoa wapi? kwa vile data ya port yenu iko wazi sana? niondolee umwehu wako humu.., mko hovyo, mtaendelea kupiga route za dala dala kwa miaka mingi ata mkikamilisha mradi(kama ilivyo ATCL kwa wingi), kama hamuna mizigo ya kupeleka Morogoro kwa faida ndio ya Mwanza mtapata? ama kutoa Mwanza hadi port mna nini hiyo ya ku export kwa wingi? ngojeni pipeline ya mafuta ya Museveni sio kwa SGR hehehehe..,
 
Bado umelala usingizi wa kinyang'au?😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…