Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaweza ukadhani labda wapo mbele ya Tanzania 😅😅😅😅😅
 
Kweli hawa raia wa kundurenda ni vilaza kuanzia viongozi wao hadi raia wa kawaida wamedanganywa wee mwisho wa siku mafuta na maji yamejitenga kilicho bakia kwao wanajua kuongea English ya master wao
 
Kasi yetu kwa kenya inakwenda kama mchina alivyoistua dunia😂😂😂
 
So kwann unabeza Hyundai ya 2024 wakat ww huna hata baiskeli😅😅😅😅

Yani nimekaa dharau wakat hamuna mbele wala nyuma kondoo nyinyi
Kwa hivyo sifai kusema ni gari ya kawaida ju sina. 🤣 🤣 Enda uskie vibaya na huko.
 
Kwamba hujui yalianza lini? 😂😂😂😂
Inawezekana kua yalikwepo lakini kwa SASA yamekithiri Sana shida ni nn?? Na kwann yamekithiri Kias kwamba kila Kona SASA hvi wazazi wanachunga watoto wao

Juzi Kati kuna panya road wamepita mitaani wakaanza kuibia watu simu pesa na kuwatishia na mapanga just imagine Saa 10 jioni wala sio usiku, alaf nchi imehamia kizimkazi 😅😅😅😅😅 tunaenda kujenga stadium ya over 10000 seats kijijini kabisa eti tunaibua vipaji wallah hii nchi 😂🙌🙌🙌🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…