Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Semi Final Pairings
Thurs: Kenya Vs Burundi
Friday: Uganda Vs Zanzibar
[HASHTAG]#CECAFA2017[/HASHTAG]
 
Fvcking cheap tickets
Only Highschool-going Kenyan kids would of taken themselves there if it were in Kenya.
What an Ldc Nation!


Kids Ksh. 150/-
Ordinary Ksh. 600/-
VIP Ksh. 1500/-
 
Unaona ulivyolimbukeni na mjinga, hiyo inaitwa FDI, kila nchi inavutia investment na FDI, kitendo cha Kenya kuja kuwekeza Tanzania na kuacha wakenya wengi bila employment is failure for Kenya na big win for Tanzania, huoni Trump anavyoangaika kuzuia American companies kwenda kuwekeza China na kuyataka yazidi kuwekeza nchini mwao?, kwa wenye akili wanasikitika wakiona kampuni zinaenda kuwekeza nje kwa sababu wanapunguza ajira za ndani, ila kwa watu wasio ma akili na wanaopenda sifa wanajisifia kwa kitendo hicho, stupid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…