Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila ruto mjanja Sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Kaona ashushe presha kabla mambo haijachemka

 
Anapiga kelele yet ATCL has no single plane. Wananunuliwa ndege na serikali yet they still make lossesπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
Hii imeumiza Sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Ruto ni smart bwanaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kaona kabla dreamliner haijatua aondoe loan zote kwa kq books aoneshe faida


Anhhh jamani wakenya sio wajinga bwana

 
Anapiga kelele yet ATCL has no single plane. Wananunuliwa ndege na serikali yet they still make lossesπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
Mind you ndege moja ni around 300m dollars serikali imenunua kumi na sita lakini kwake sio sawa GoK kumkopesha KQ hela ambazo atalipwa pole pole in Kenyan shilling
 
Shida yako wewe hua una hasira kuliko wote, cheki wenzako walivyotulia manake wamesoma na wanaelewa hizi biashara πŸ˜‚πŸ˜‚
Mm niwe na hasira alaf inasaidia nn wakat munaburuzwa kama nguruweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yani ruto ni smart Sana bwana

 
Indeed inaumiza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Mm niwe na hasira alaf inasaidia nn wakat munaburuzwa kama nguruweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yani ruto ni smart Sana bwana
Siku zote mwenye hasira hajikubali, tuliza moyo na ukubali vitu huwezi badilisha, accept and heal πŸ˜‚
 
Indeed inaumiza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 3074746View attachment 3074748
Hasira yote imekuja baada ya ukweli kujulikana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ruto ni smart bwana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kaona awaridhishe kabla dreamliner haijatua mambo isije chemka
 
Okay basi swa KQ imepata hasara, happy now πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Siku zote mwenye hasira hajikubali, tuliza moyo na ukubali vitu huwezi badilisha, accept and heal πŸ˜‚
Kwamba ruto ni smart bwanaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hataki tena kuskia loss 🀣🀣🀣🀣🀣


 
Tention unayotaka kutoka kwangu, huipati tena kaka, tumia hii focus kutafuta hela mzee.
Mbona nitafute attention kutoka kwa baboon? Kwanza hufai kuongea penye human beings are talking?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…