Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikifuatilia matokeo ya Police Fc nakutana na kitimu kimewekwa bendera ya tanzakundu alafu kimefumuliwa tatu bila nikacheka Sana 😂😂😂
 
Fully booked makalio, abiria wa 50Bob ndio wamemaliza nafasi, wakishuka pugu, Ndovu anabakia mweupe 😂
 
Fully booked makalio, abiria wa 50Bob ndio wamemaliza nafasi, wakishuka pugu, Ndovu anabakia mweupe 😂
View attachment 3073851
Hizo ni changamoto ndogondogo zitatatuliwa utake usitake, hii ni Africa lkn sisi tumeamua kutoka huko, tumeiheshimisha Africa hata ulie hutobadili ukweli 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Mbona matokeo ya Yanga hujatangaza, mbona matokeo ya Azam hujatangaza, mbona Simba huwaongelei, wacha wivu gasho la Mombasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tatizo lako huwa Una hasira Sana, mabosi wamekudhulumu ??😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…