Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna mwenye hutosheka na pesa. Hata wakilipwa a billion each bado wataandamana tu.
Usitake kutudanganya hapa.
Tulikua tukitizama habari raia wakilalamika kipindi cha maandamano kuwa maisha yako juu sana kiasi hayaendani na hela wanayotafuta.
Yani kama ukisema upige mahesabu basi ni sawa hadi mkate unaulipia kodi ama ushuru.
Usidhani sisi tulikua hatufuatilii,na hapa East Africa Kenya ndio mnaongoza kwa inflation rate.
 
Hyo ni reli.

Je mmemaliza?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Umeshindwa kuonyesha Kenyan SGR station with muddy roads kama za Tanzania?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Kwaiyo CCM ndo inalipa bloggers wa Kunya?
Bloggers are people that can be hired anytime. Itโ€™s not the first time your government has hired Kenyan bloggers ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Fully booked makalio, below ni economy na royal class. Ukiingia online hamna space, wanadhani wanatukomoa kumbe wanajikomoa wao ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Bloggers are people that can be hired anytime. Itโ€™s not the first time your government has hired Kenyan bloggers ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
Sidhani Kama yuko twitter huyo, CCM inatulipa kule x tuwatukane kina Maria Sarungi na Ex mayor ubungo..
 
Hizo gari mbona hatuzioni barabarani zaidi ya probox 99%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ