Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aliposifia Tanzania mlimkubali, akiongea negative mnasema muongo. Hampendi kuambiwa ukweli.🤣🤣
 
Watarudi tu. Sio mara ya kwanza. Inefficiencies za Dar zitawarudisha.
 
Watarudi tu. Sio mara ya kwanza. Inefficiencies za Dar zitawarudisha.
 
Anadanganya kuwa kenya hakuna old cars...mimi point yangu iko hapo.

Nilikuwa kenya last month. Nimeona old cars kibao tena nyingi probox
Quote exactly what he said. Unajua nyie wabongo na kizungu huwa hampatani. Alafu vipi akisema kizuri kuhusu Tanzania you don't over analyze it. You just pick it and run away with it boasting?
 
Aliposifia Tanzania mlimkubali, akiongea negative mnasema muongo. Hampendi kuambiwa ukweli.🤣🤣
Tena wameshangazwa na mambo mengi
Kwanza security...maduka mengi ya tz kuwa na vioo tupu...inaonekana wizi na unyanganyi umedominate kenya (umaskini uliokomaa)

Pili. Airbnb kujaa na kuwa za kisasa zaidi kuliko za Nairobi
Tatu. Chakula...wanapewa breakfast ya nguvu na chakula ni kingi. Unlike kenya njaa kila mahali
Nne. Wanashangaa organization na usafi wa jiji la Dar
Tano. Wamefika kijitonyama na victoria wakazani ndo CBD ( city Centre) kumbe ndo kwanza mji umeanza...wako 7km from Posta.

Nk nk
 
They're not haters like Tanzanians. They come to enjoy the good things, not to take photos of the bad places and make themselves feel good. Shida ni wakisema kilichowakera mtaanza kufura. 🤣🤣🤣
 
Huyo demu yupo at least poa. Na ninaweza kumuelewa maana ni mara yake ya kwanza kuja TZ
 

View: https://x.com/ayubu_madenge/status/1824321570468221329
Ndio utagundua jamaa ni makelele mengi sana mitandaoni.
 
Ona ulivyo mshamba, eti shati iko na mifuko miwili mbele 🤣🤣🤣🤣🤣
Ngoja nakurudia, mana naona ushanisahau, unaanza kunizoea tena.
Nikukumbuke wewe watchman wa mwarabu una nini ya kukumbukwa?
 
They're not haters like Tanzanians. They come to enjoy the good things, not to take photos of the bad places and make themselves feel good. Shida ni wakisema kilichowakera mtaanza kufura. 🤣🤣🤣
Hakuna mtu ana hate mkenya. Mnajistukia tu wenyewe. Tungekuwa tuna wahate msingeweza hata kupata kazi nchini kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…