Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu tujibu. Huwa unachima kisima?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚. Na these fingers ni za 50yrs kama sijakoseaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

View attachment 3070986
Nitolee upumbavu wako, mana naona umemjibu mala.ya Rhaenyra Targaryen kwamba mm ni msomi ambaye sijapita konakona na wala sijatoka form four kwenda chuo kama nyie, ngoja nifanye mambo ya msingi ila samahani kama nimekuudhi leo🀣🀣🀣🀣🀣
 
Wewe sio msomi. Sasa Primary School Certicate ndio unapiga nayo kelele? Weka grades kila mtu aone how terribly to you failed πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£

This is my certificate with grades. Maths and Business I got A’s. Weka grades wewe watchman mzee kila mtu aone πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Teargas miss faivu sitaa oteli tuoneshe maisha yako tukuone.

View attachment 3070988
Mzee wa mindonga, kuna kipindi juzi juzi tu hapa alikuwa field ya kutumbua mishipa alivaa buti hilooo 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Buti lina mashavu aloooo 🀣 🀣 πŸ‘‡ πŸ‘‡

Leo kapiga buti la SGR kabisaa ☝️☝️🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Olympics ndiyo nn? Kwanza sijui hata ratiba yake, incase you don't know, watanzania wengi hawana habari yoyote kuhusu olympic na hawafuatilii, yn uniweke kwenye TV niangalie mita 500000000000, hell no.
Kujeni muone watu wanavyojifariji huku 🀣🀣🀣🀣 Desperation and denial is a lethal combination.
 
Teargas nataka ujue kidogo life status za watu (Miss faivu sitaa oteli). This is another New Royal Restaurant inazinduliwa kesho.
Important people tumealikwa. This sms from my phone.

View attachment 3070989

View attachment 3070991
Ebu tuonyeshe hiyo message before ifunguliwe I want to show you something. You can’t be downloading messages online ndio ukuje kutudanganya nayoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Wewe watchman Kwani unaniogopa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ Unaogopa mdogo wako?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Ebu tuonyeshe hiyo message before ifunguliwe I want to show you something. You can’t be downloading messages online ndio ukuje kutudanganya nayoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Mzee nakuonesha unachotakiwa kuona. SIyo kila kitu changu private ukione. Wewe endelea na mabo ya faivu sitaa oteli
 
🀣 🀣 🀣 🀣 Download na wewe utuoneshe hapa inayofanana na hiyo
Kama myu ndio unaweza download picha yake na utudanganye ni yako, nini itakuzuia kutudanganya na SMSs?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Kama myu ndio unaweza download picha yake na utudanganye ni yako, nini itakuzuia kutudanganya na SMSs?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Umekosa point kijana wangu. Maisha yako ni ya chini mno. Nimekuonesha simple things umeanza kuhaha 🀣 🀣 🀣 🀣 Nikikuonesha vitu vikubwa si utakimbia humu
 
Yani wewe mwenye buti la SGR unaingia vi bar vya 200 sh ndio uite watu wenye train ya umeme maskini, haki ya mama wewe sio mzima 🀣🀣🀣🀣🀣View attachment 3071014
Wewe watchman usijaribu kuongea penye wenye pesa wanaongea. Yani wewe usiku ni watchman lakini ikifika mchana unachimba kisimaπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…