Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii imewasaidia nn kuondokana na fedheha ya njaa na maandamano ya unga, mnapenda sana sifa za kijinga wasenge nyinyi.

Njaa inawapeleka vibaya sana kunyan,TZ huwezi kukuta kitu kama hii,kunyan ni maskini mno,hapo yule polisi na yy anataka aokote water melon angalau na yy apate milo 2 kwa hiyo siku
 
Ardhi ya Tanzania sio sherabera kama ya kenya kwamba kila mtu anaweza miriki
 
We pimbi, sheria zingine hua za kuliwaza watu maskini kama wewe. Waarabu wanamiliki Ngorongoro na wanafanya vile wanataka hadi wakawafukuza wamasaai wenye walikua wanamiliki ardhi huko.
Wewe mama ardhi ya tz sio sherabera sasa mwarab unaweza fananisha na mkenya? Nyie tu ardhi yenu hamuwezi miliki mmewaachia wa kidinilezungu na kenyatta family
 
Kampuni ikisajiliwa Tz ina haki ya kumiliki ardhi. Hata Mkenya anaweza kumiliki ardhi Tz kama ana kampuni iliosajiliwa Tz ila sio kama yeye binafsi.
Still ownership. Just in a bureaucratic way but still ownership. Doesn't change the fact that Kenyans own many buildings in Arusha. Hata hapa Kenya vitu vingi tunavimiliki kupitia kampuni tulizosajili.
 
Usikute huyo mleta hiyo mada ni mtu mzima kama geuzwa ulambwe, kijana mdogo kama mimi tayari ni investor vumbistan πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo anawachocha tu hili msupport channel yake COUPLE LOYALTY TEST. Mnapelekwa na maji na mko hapo mnapiga makofiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.

Anyway huyo Kijana ndio huyu hapa, hawezi tamani kuhamia Tanzania hata siku moja.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…