Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkenya akiri hakuna slums Tanzania asema masikini wa Tanzania anaishi vizuri kuliko middle class wa Kunyaland asema nyumba zote Tanzania ni za matajiri Kunyaland πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wakenya wachanganyikiwa na Tanzania mmoja anasema anataka kuhamia Tanzania mwingine anasema kipindi wamekuja na wazazi wake wali tafuta mpaka shule wahamie Tanzania,


View: https://youtu.be/DFSmUvVFedE?si=l6VuYMzDN_wFNIff
 
Upumbavu wa kale huu, tushatoka huko kwenye mambo ya kipumbavu.
 
Hata mimi niliongea nao wakaniambia walienda tu kuona how backward Tanzania is. By the way tutajuaje uliongea nao wakakuambia vile unasema cause anybody can guess anything and say them hereπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii yote kwasababu wana uhakika na usalama wao. Kuna nchi hawawezi kuthubutu kufanya hivi maanake wasipoibiwa watarushiwa vinyesi.
 
Hata mimi niliongea nao wakaniambia walienda tu kuona how backward Tanzania is. By the way tutajuaje uliongea nao wakakuambia vile unasema cause anybody can guess anything and say them hereπŸ˜‚πŸ˜‚
Endelea kujifurahisha tu hakuna anayekukataza.
 
Kwanza nginjanginja lina operate on a jointed rail hence makelele na kurukaruka pili seat za ubao tatu hajuna air conditioning system nne hakuna entertainment facilities kama video screens tano hakuna WiFi sita very sluggish take long hours for a small distance the list is endless 😁
 
Nyang'au Teargas anajifanya kuchukia ukimuambia hivyo, ha ha ha😎😎
 
Hakuna cha kukosa ticket yet there are empty seats all overπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£. Sema tu hukuwa na uwezo wa Foyal classπŸ˜‚πŸ˜‚
Hapo ndio tumeingia kwenye train bado watu Wanaingia wengine wako kwenye ticket check chizi wwπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unaumia Sana na mm ndio furaha yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…