Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If that's the case then wengi wanashuka Zanzibar then wanaconnect to Dar and Arusha. Hapa Kenya watalii wa kuconnect wanatumia tour vehicles ndio wapitie Tsavo na Amboseli.
 
Only in 2yrs Ruto has borrowed the same amount Uhuru borrowed in 10yrs. Bado hutaki tumlaumu? The worst part deni za Uhuru tulikuwa tunaona what they do while za Ruto hata hatuoni vitu hizo deni zinafanya.
Anakopa kulipa madeni ambayo wakati wa Uhuru yalikuwa hayajaiva. Sasa anaonekana anakopa sana kwasababu inabidi aongeze pesa za kuendeshea nchi.
 
Sasa unahudumiwaje na robot na how hii ni maendeleo? Kwenye nchi inayo export watu wake kwenda kudeki na kusafisha vyoo Uarabuni hizi ndio zilikuwa fursa za ajira kwa watu.

Unavuta bangi?
Kwani hiyo hoteli moja ingeajiri all the unemployed people in Kenya? Unareason kama ngamia😂😂🤣
 
Ajira ni ajira. Hata kama ingeajri watu kumi ni ajira, ingepunguza idadi ya unemployed 10 na ingepunguza idadi ya Wakenya kwenda kuwa abused in Uarabuni.
Usipangie mtu vile anendesha biashara yake. Wewe Mbona usifungue biashara yako uwajiri the so many jobless Tanzanians including yourself.
 
If that's the case then wengi wanashuka Zanzibar then wanaconnect to Dar and Arusha. Hapa Kenya watalii wa kuconnect wanatumia tour vehicles ndio wapitie Tsavo na Amboseli.
Kwahiyo walivyoandika Dar-Znz na Arusha-Znz hawakujua hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…