Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama Kuna vikaragosi vya wazungu hili eneo ni Tanzania. Huko kwao rangi nyeusi ni sura mbaya Ndio maana dada zao wote wameingia kwenye mikorogo. Kuna Mnigeria mmoja pale YouTube anaitwa Nwache, aliitembelea Kenya akaishi Nairobi alafu akaenda bongo akaishi Dar. Alikiri wabongo wanawashobokea wazungu sana. Ndio maana utawaskia Kila mara wakisema ooh mnacopy wazungu. Inaitwa projection.
 
Yani wamecheza na Fountain gate wanajitamba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Tena wameshinda kigoli kimoja aaagh lamamayeee.
Hawa tungewapa Coastal union
Coastal union inayofunzwa na Ouma na Wachezaji watano wakenya πŸ˜‚
 
Nyinyi nyang'au huwa hamjioni. Yaani ni mambo mangapi mnaiga wazungu kuanzia lugha mnayoiita kuwa ni yenyu?
 
Angalia ulivyo mjinga. Eti dada zao WOTE wameingia kwenye mkorogo. Ukiwa na akili ndogo tu utajitahidi usitumie neno WOTE.
Halafu youtuber mmoja ameingiza pumba kichwani kwako kiasi unaona ndio ukweli. Inashangaza.
 
Nyinyi nyang'au huwa hamjioni. Yaani ni mambo mangapi mnaiga wazungu kuanzia lugha mnayoiita kuwa ni yenyu?
Show me anywhere a Kenyan ever said English is a Kenyan language. We use English cause it’s a global language, hadi wachina siku hizi are being forced to learn English before they could get jobs in English speaking countries. Anyway is Kiswahili a Tanzanian language?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 

Mombasa receives the same number of passengers as your Mabati Rolling Mills πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani wewe mnuka mavi una shida gani kati ya weww na kuongea ukweli.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ heb kaa chini na ukweli mmalize tofauti zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…