Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi nadhani jamaa atakuja na vitu kama camera quality, internet speed, durability, screen resolution, processor, battery life, fast charging, design n.k jamaa ananiletea sales. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anatarajia vitu expensive to sale quantity like cheap products. Fala yeyeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi nadhani jamaa atakuja na vitu kama camera quality, internet speed, durability, screen resolution, processor, battery life, fast charging, design n.k jamaa ananiletea sales. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haya Heb tueleze wew hiyo pixel yako ina ubora upi kuliko iPhone, Huawei or Samsung.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unatumia simu yenye si bora tuliza tako mzee, tena umeenda mbali kabisa kumtusi mwenzio ili kutetea hilo kopo unalitumia. So stupid.
 
Imekuwa big story huko Kenya, alafu kwanza Duke Abuya hawezi kuwa first eleven pale japo namtakia kila la heri mana ni mchezaji wetu, sema kupata namba Yanga ni ngumu sana.
Wewe watchman unajua nini kuhusu football? In football hakuna kubeba rungu na kumulika watu na torch. Anyway, Duke Abuya is now the engine of Yanga, kila mtanzania anamuimba. Watanzania wanasema ati Abuya is now a Tanzanian who was born in Tanzania but only migrated to Kenya for few years but he is now back to Tanzania again where he was born.πŸ˜‚
 
Poor boy, zako wewe ni uongo tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ very stupid.
 
More than 100.

Alafu I said we don’t import fake products from China, if China wants a share of Kenyan Market they have to assemble those buses here in Kenya. Nyinyi endeleeni kuletewe refurbished boxes.
 
Manake munataman mpaka mavi ya wazungu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Chasisi assembly imekutoa kamasi ulijua ni kama Kula bajia TuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kuna chassis assembly line at AVA Mombasa and KVM Thika.
 
More than 100.

Alafu I said we don’t import fake products from China, if China wants a share of Kenyan Market they have to assemble those buses here in Kenya. Nyinyi endeleeni kuletewe refurbished boxes.

Beijing VS Nairobi 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡​

Wanasema hatujui Mpira yet we defeat them anytime Kenya meets TanzaniaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

Ati Kenyan reject is now the superstar and face of Tanzanian league πŸ˜‚πŸ˜‚

Hong Kong vs Kisumu 🀣🀣🀣🀣🀣​

Teargas vipi upumbavu umekutoka kwenye kichwa chako?

Mit 27:22 - Biblia Takatifu​

Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…