Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

There's what you want to believe and there's the truth. You put too much value on land yet the land owners you speak of look like this. SA HDI is 0.717 while Tz HDI is 0.532. Bro, it doesn't matter how much land you own but what kind of life the land you own is giving you.

 
Bro unataka kusema Kenya hakuna WATU wa hali hii!?
Hawa si wanaishi rural areas!?
 
Swala ni kuwa umiliki wa resource kwanza, nini anafanya na ardhi anayomiliki ndio tatizo kwa wengine. Kukosa akili za kutumia rasilimali zake, lakini nyie na hao Wasouth hata pakuanzia hamna.

Nyie ni mafukara wa kutupa! You can't own anything kwakua tayari you are owned na kusubiri baraka za mzungu kukuajiri ndio only gateaway ya chakula.
 
Sina time bro. Have a good night.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bro unataka kusema Kenya hakuna WATU wa hali hii!?
Hawa si wanaishi rural areas!?
Sijui shida yako huwa ni kusoma, kuelewa, inferiority complex ama ni ubishi tu. Rudia kusoma nilichoandika utaelewa.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mada yetu haikuanza kwenye real estate ownership, kulingana na picha za lower class zinazowekwa humu meaning tunadiscuss lower class.
Hujanielewa, nimesema your data is inconclusive because umepost data ya Kenya pekee wakati unafanya comparison between Kenya na Tanzania. Ni kama kusema I am better academically than you because you got a D in your exams.

The data might be true but is inconclusive because I don't know what you got in the same exams. Labda nimepata D nawe ukapata E. Then you can't say you're better than me because though nimefeli, wewe umefeli zaidi.

Hapo ndipo nakwambia your data is inconclusive.
 
Akili za mtanzania will leave you surprised πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…