Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiki kijamaa kumbe kinatumia kopo tu lenye it’s very cheap πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Teargas. Ukitaka kuuza hiyo labda utapata 150k Tz money
 
It says one big plot. How big is one big plot? Ten acres? 50 feet by 100 feet?

Take a look at this. Ksh 525 million per acre. Mtangoja sana
Hiyo link inasema wazi kwamba it’s 1 acre for 2.5 million US dollar.
 
Unatumia simu za 23k unataka kulinganisha na simu ya maana like IPad 9th Generation? Una wazimuπŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ this is the price of the phone that I’m using πŸ‘‡πŸΎ 850k and this is the price ya hilo kopo unalotumia πŸ‘‡πŸΎπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸΎπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Haya sema wewe, kwa bei ya simu yangu, napata hayo makopo mangapi.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umezoea bei rahisi za refurbished phones unadhani sisi wote tunatumia vitu cheap kama wewe mbwa hii.

 
Wenzio wanaona sifa kusema ardhi kwao ni gharama, yn mtu upo kwenye nchi yako na huwezi kumiliki ardhi na unajisifia, wakenya ni ******* sn aiseee, ndiyo maana huwa nasema waache wafe na waendelee kuwa na maisha magumu.
Bongolala, wacha kujitekenya. Where did you read that Kenyans don't own land? Na hizi title deeds ambazo watu wako nazo ni dhihirisho ya nini? Unasema mkenya hamiliki land wakati wewe umekodisha ardhi kutoka kwa serikali huku mkenya anamiliki tena ako hadi na hatimiliki. Si unaona ujinga na ujamaa ilivyowapumbaza?
 
Tanzania tunakodishaje ardhi!?
Ingekuwa tunakodisha ardhi tungelipwa fidia serikali inapoihitaji ile ardhi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…