Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu umewapiga Red Card unategemea nini? Kusema possession mbona simba ilikuwa na 76%. Na wala watu hawasemi.
 
Watu umewapiga Red Card unategemea nini? Kusema possession mbona simba ilikuwa na 76%. Na wala watu hawasemi.
Red card walistahili bro kama kweli wewe mtu wa mpira.
Hata wachezaji wenzake walimlaumu yule jamaa na kumsema walimlalamikia kuwa hakustahili kufanya ujinga aliofanya.
 
Just friendly match πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ ilinisikitisha jana.

Anyway show ya yanga iliisha zaidi ya saa tano usiku. Hili unaliongeleaje?
Kwa kusema kweli mpangilio wa matukio YANGA TULIFELI.
Muda mwingi umepotea kwa wale maDJ kupiga kelele na vitambi vyao.
Hatukupangilia vizuri matukio hasa ya kutumbuiza ya wasanii.
Ilitakiwa mpaka saa moja game linaanza saa tatu linaisha Watu wanasepa.
 
Watu umewapiga Red Card unategemea nini? Kusema possession mbona simba ilikuwa na 76%. Na wala watu hawasemi.
Basi red card ifutwe isiwepo kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hvi nyinyi munaona APR ni team Bora ya kujipima au sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Basi tarehe 8 mutajua kikosi chenu halisi
 
Just friendly match πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ ilinisikitisha jana.

Anyway show ya yanga iliisha zaidi ya saa tano usiku. Hili unaliongeleaje?
Friendly match haina maana Kadi zisiwepo unataka watu wavunjane miguu ndio mujue maana ya Sheria za mpira πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kocha wap alisema kabisa ni red card ya uzembe SASA wao wanapinga nn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata wachezaji wenzake walikua wakimgombeza.
Halafu red arrows walikamia ile game.
Hivi tungeingiza kikosi kile cha Kaizer chiefs hao red arrows wangetoka salama!??
 
Hata wachezaji wenzake walikua wakimgombeza.
Halafu red arrows walikamia ile game.
Hivi tungeingiza kikosi kile cha Kaizer chiefs hao red arrows wangetoka salama!??
Yanga kuna mambo aliyaficha mengi Tu yakimbinu na wamshkuru Sana kipa wao lasivo wangekula goli 8 mpaka 10 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yanga kuna mambo aliyaficha mengi Tu yakimbinu na wamshkuru Sana kipa wao lasivo wangekula goli 8 mpaka 10 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila doh kipa namsifu,ile michomo yote kaokoa AISEE.
Tarehe 8 alhamisi kesho kutwa litakufa jitu.
Hivi Duke Abuya ulimuona matusi yake!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…