Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 915
- 1,091
Badala ya kujishughulisha kuendeleza Dar upo unasumbuliwa eti wakenya waseme Nairobi haijaendelea? Ndio iweje? Hivi Dar ilivyochoka barabara za vumbi kila mahali unaweza niquote post moja tu uliyosema Dar haijaendelea? Yani unaona vyema mji wako ukose maendeleo na uendelee kuusifia tu ila unasumbuliwa na Wakenya kisa hawajasema Nairobi haijaendelea? Huna akili wewe.Tatizo mnaongea sana na misifa juu. Hapo hujajibu hoja yangu kuhusu hizo barabara za Nairobi kuwa mbovu. Umeanza topic nyingine.
Muda mwingine unakubali kuwa bado mko nyuma Nairobi is still a developing city just like any other city in Africa...
Lakini kenyans wanaona wao ndo wameendelea na mbaya zaidi are always bashing other countries zilizo busy kuimprove their countries. ...
A lot has to be done to Call Nairobi a developed city.
Labda wajaze mtaa na Masufuria kichwani ya Ugali ππππNyang'au wakileta picha ya timu yao moja inayoweza kujaza uwanja kama ubaya ubwela najiondoa JF.
Cc: Teargas Reborn tkd NairobiWalker n.k
View attachment 3060689
Hiv mikataba wanaitoaga wapi lakini? Hiv mtu anapata wapi kuleta mikataba huu mezani ujadiliwe?Ukinicheka shambani,ntakucheka sokoni ππ
View attachment 3060765
Nyie ni washambaUmesoma nilichoandika ukaelewa ama Kiingereza hukijui kama ilivyo kawaida yenu?
Acha waendelee na maandamano na kujisifu kuwa wao ni vinara wa domokrasia AfricaπFitch wameshajibu huko π
US Rating Agency Fitch Downgrades Kenyaβs Credit Rating to B-
US ratings agency Fitch Ratings has sounded the alarm for Kenya's economy, downgrading its Long-Term Foreign-Currency Issuer Default Rating (IDR) to 'B-'diasporamessenger.com
Derulo : When did you arrive?
Msani wao : second in the morning
Derulo akajua hakuna mtu hapo. Huyu ndie mtu eti wakenya wanaiba π
View: https://vm.tiktok.com/ZMrXbdXW1/
Unahara wewe!Wiki nzima bungeni wangekuwa wanatujadili. Hawa watu bana. Kuna mjinga mwengine kwa jina Master J mtu ana miaka 50 lakini vijana wadogo wa Kikenya wakipiga banter lazima umsikia akija na makasiriko. π€£ π€£
Wanadinyana nn? mbona wanaitana wapenzi hadharani? Yenyewe Sonko ana rasa na tumbo imekaa bol itakuwa anageuzwa!
Huu uwanja uko under renovation Simba na yanga wameomba Tu kwa ajili ya siku zao but mkandarasi Yuko site anaendelea na KAZIPicha za leo, kachiri bado zinauzwa (bottom right) viti nonfoldable, race track imewekwa zege, fence ndani ya uwanja. EQUITY BANK imejaribu kuwainua lakini nguruwe hapendezi πππView attachment 3060648
Ilikua mwaka gani hii?? Zilipendwa π π πGor ilikuwa ikiifumua yanga kila siku πππ View attachment 3060649