Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,212
- 35,595
Kunyan wizi upo kwenye na hasa unachangiwa na umaskini waliokia nao wakunyanAngalieni hii Yani MTU anaibiwa simu mbele ya Askari aisee Kenya hakuna utu WAla Amani π π
View attachment 3060228
Leta ushahidi tulisaini mkataba nifunge ACC π€£π€£Ni bora kuliko uongo mnalishwa viongozi wenuπππ€£.
Mnaomba hadi wakenya loan πππ€£π€£ππ
8View attachment 3060320
Nchi inayoomba even dawa ya tb halafu chokoraa wake wanajinasibu wameombwa mkopo wa sgr πPeleka pumu huko Mpumbavu wewe
Wahi msaada kabla hawajauloot ππ
View: https://x.com/wishfmkenya/status/1743350894966522287?t=QR69XftXRrGxsFt9ONnrjA&s=19
Nimesoma hiyo article editor alivyoiforce Kunyaland ihusike kwenye sgr financing yetu inaongea mengi sana walivyo desperate na Tanzania πππ Yaani utumbo mtupu ndio maana wanaitwa githeri mediaNchi inayoomba even dawa ya tb halafu chokoraa wake wanajinasibu wameombwa mkopo wa sgr π
Hii sgr yetu ikifika eastern DRC ni ndani ya miaka mitano tu tutakua tumesharudisha pesa zetu madini yaliopo kule ni mengi na changamoto kubwa ni usafiri, watu wanafikiri tumekurupuka, ni kichaa tu anaweza kudhani hizi billions of dollars zinaweza kutekezwa kisa tu kubeba abiria, akae kimya kama hajui kituAndaman kwa nini hela zote hizo zimetimika zingejenga barabara omba uzima tu badae utakuja kuelewa maake huna unachokielewa maake hata bwawa la umeme ulikuwa unalipinga ila nahisi angevianzisha Samia ungeunga mkono 100% Kwa sababu viliasisiwa na JPM hapo ndio nongwa inpo anzia
We bumunda NINI!?
Tushakupigia hesabu bado unauliza kuhusu faidaππππππππππ.Siku SGR yenu itatengeneza faida kuja tuongee kuhusu faidaππ€£π€£π.
We MATAKO NINI!?
Ku lend ndio kuomba!?
Tumewaazima pesa hatujawaomba MATAKO wewe.
Mbona na nyie msiombe bank yenu!?
Au bank yenu haiwezi wakopesha juu hamuwezi kulipa!?
That is business kijana,KCB wananufaika pia ama wameshanufaika.
Iwe pesa za ndani au vinginevyo, usimamizi wa hizo fedha ni wa hali ya juu na ndiomana tunawatoa jasho. Vipi mikopo lukuki mnayochukua miradi Iko wapi? Now Tanzania isn't your level na tunadhihirisha Hili kwa vitendo. NA BADOPesa za ndani makwapa?πππ€£π Hii ni loan pure πππ€£
Taarifa ya kukopa tu imewatia wenge je sisi kuwapa misaada ya dawa za TB wanalizungumziaje!?Hakuna mkopo kama huo mzee asikuingize chaka hatujawah kukopa hvo kila mkopo uliokopwa unajulikana
Angalia hii ramani inayoonesha heavy and industrial minerals zilizopo DRC na zote zipo maeneo ambayo SGR yetu inaenda, usifikiri JPM akikurupuka, utajiri wote wa DRC upo huku tunapopeleka SGR yetu na ndio maana tumeamua tuingilie Burundi sababu haina conflicts na DRC kama Rwanda, Burundi ni kama tupo Tanzania tuTayari pesa zimeshatumika no way out
Mmezoea kudanganywaπππ€£π€£.
Tsh 10 Trillion is equivalent to 3.7B dollars. Now letβs see who is saying the truthππ
Loans zenye mmepata for Lot 1 and 2 alone are more than $3.7Bπππ€£π€£πππ
View attachment 3060313
View attachment 3060315View attachment 3060316
Timing is asset itselfAngalia hii ramani inayoonesha heavy and industrial minerals zilizopo DRC na zote zipo maeneo ambayo SGR yetu inaenda, usifikiri JPM akikurupuka, utajiri wote wa DRC upo huku tunapopeleka SGR yetu na ndio maana tumeamua tuingilie Burundi sababu haina conflicts na DRC kama Rwanda, Burundi ni kama tupo Tanzania tu
View attachment 3060402View attachment 3060403
Sio madini tu, pia upande huu wa DRC ndipo penye population kubwa ya DRC kwa hiyo SGR yetu itapata mzigo mkubwa on both ways, go and return kwamba tutatoa shehena kubwa ya madini na tutapeleka shehena kubwa ya mahitajiTayari pesa zimeshatumika no way out