Hakuna taarifa rasmi iliyotoka ya treni kukwama Morogoro.
Naona umeanza kuokotesha picha sasa.Train imekwama msituni abiria wanalala sakafuniπππ€£π€£.
Hawa ni wenye walikuwa wanangoja train warudi nayoπ€£πππ€£πππ
View attachment 3059020
Utangoja sana taarifa ya bundi na ngedereπ€£π€£ππ.Hakuna taarifa rasmi iliyotoka ya treni kukwama Morogoro.
So hapo sio Tz?πππ€£π€£π€£. Mmeanza kukana nchi yenu just because your SGR is fake?π€£π€£ππNaona umeanza kuokotesha picha sasa.
Whichever the case, huu ndio utakuwa ukweli. Hizi treni sio mtumba na tumekuwa tukipost humu kuanzia haztua za awali za matengenezo na ni treni toka kiwanda kikubwa ulimwenguni Hyundai, na mkandarasi wa reli yetu ni Yepi Merkezi aliyekamilisha miradi kibao kwa zaidi ya miaka 50 na ndio aliyetengeneza Dubai Metro.Yani unatoa wageni kwao uwakwamishe msituni? This is bad mannersπ€£π€£ππππ
View: https://x.com/MwananchiNews/status/1819115932452634640
Kuna treni gani ya Morogoro inafanya kazi saa nne usiku!?SGR ya Tz imekwama tenaπππ€£π€£π€£πππ
View: https://x.com/Sativa255/status/1819103634937851954
Ngoja tuone itavyokua.Whichever the case, huu ndio utakuwa ukweli. Hizi treni sio mtumba na tumekuwa tukipost humu kuanzia haztua za awali za matengenezo na ni treni toka kiwanda kikubwa ulimwenguni Hyundai, na mkandarasi wa reli yetu ni Yepi Merkezi aliyekamilisha miradi kibao kwa zaidi ya miaka 50 na ndio aliyetengeneza Dubai Metro.
Why haya yatokee kwetu, if true?
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1819111620213154064
Donβt you hear hostess akiomba watu to be patient? Ama hiyo pia sio lugha ya kitanzania?πππ€£π€£Kuna treni gani ya Morogoro inafanya kazi saa nne usiku!?
Morogoro treni ya mwisho ni saa moja na nusu usiku kuelekea Dar.
Hata refurbishment pia hifanywa kwa kiwanda. Nyinyi mliona finished trains not skelotons, so hamjui kama na mpya ama ni mitumbaππ€£π€£π€£Whichever the case, huu ndio utakuwa ukweli. Hizi treni sio mtumba na tumekuwa tukipost humu kuanzia haztua za awali za matengenezo na ni treni toka kiwanda kikubwa ulimwenguni Hyundai, na mkandarasi wa reli yetu ni Yepi Merkezi aliyekamilisha miradi kibao kwa zaidi ya miaka 50 na ndio aliyetengeneza Dubai Metro.
Why haya yatokee kwetu, if true?
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1819111620213154064
Umepatia mkuu kuna uhujumu hapa.Whichever the case, huu ndio utakuwa ukweli. Hizi treni sio mtumba na tumekuwa tukipost humu kuanzia haztua za awali za matengenezo na ni treni toka kiwanda kikubwa ulimwenguni Hyundai, na mkandarasi wa reli yetu ni Yepi Merkezi aliyekamilisha miradi kibao kwa zaidi ya miaka 50 na ndio aliyetengeneza Dubai Metro.
Why haya yatokee kwetu, if true?
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1819111620213154064
Unakataa nini kijana!?Hata refurbishment pia hifanywa kwa kiwanda. Nyinyi mliona finished trains not skelotons, so hamjui kama na mpya ama ni mitumbaππ€£π€£π€£
Shida haipo katika treni ni kwenye cable za umeme.Watu wanataka jibuπ€£π€£ππππ
View: https://x.com/HopeQuotes__/status/1819119875656405502
Who told you shida iko kwenye cables?ππShida haipo katika treni ni kwenye cable za umeme.
Ebu jibu huyuπππ€£π€£πππShida haipo katika treni ni kwenye cable za umeme.
Kisa umeme ila sio kisa ubovu wa treni yenyewe.