Wacha abaki awanyooshe vzr π π πEti wakundustan, mimi nauliza nyinyiii... Hiyo serekale yenyu ni ya ma Husler au ni ya nusu mkatee... π€£π€£π€£
Ruto must goooo
China diesel trains wanatumia kwa uchache sana tena katika migodi.Mtajua kwa nini America USA na China bado wanatumia diesel trains
We mbwa unajua hapo ni miaka 60 wanafanya hivyo?China and Tanzania have become very nervous about Kenya joining non- NATO ally status β¦ next will be a Chinese PLA base in Bongoβ¦ mark my wordsβ¦
Look like unasoma soma tu, I didn't bring it, but nilivyoona unaleta maneno ndio nikakupoint nunua si rahisi, or piga picha your car tuone kweli unaongea.Itβs not a priority for me.. but at least you know to do research before posting mΓtumba vehicles ka washamba β¦ you lack exposure and it always showsβ¦
Ni hatari, yaani wanamwaga mapovu utafikiri sisi ndio tumesababisha maisha magumu Kenya.Hawa ndugu zetu are so delusional, kazi kujipiga kifua tuu, a Texan would say big hat, no cattle.
Safari trains do carry more pasengers and are sluggish but slick trains do carry fewer pasengers and are fast.Kwani ni uongo kwamba Kenya train carry three times the number of passengers your trains carry? Ama 304,000/100 ni ngapi?ππ
Si juzi tu hapa ulisema train ya Tanzania inabeba watu wengi kuliko ya Kenya? What changed after umeona the real evidence ?π€£π€£πSafari trains do carry more pasengers and are sluggish but slick trains do carry fewer pasengers and are fast.
Dunia imeshahama kutoka kubeba abiria wengi kwa treni moja. Sasa hivi kwa developed countries trains are short high speed and have higher frequencies.
Hiyo inaenda kukwama tena hapo mbeleπ€£ππJoka hilo linakimbia balaa ππΎ
View: https://www.instagram.com/reel/C-Hlq13sehn/?igsh=MTB2ajNsaDR4cWNxOA==.
Tengenezeni team Kwanza ili tarehe 8 musichapane vibokoπ€£π€£π€£π€£π€£